Shigongo adai Diamond anaelekea shimoni, awataja mameneja wake kama chanzo

Shigongo adai Diamond anaelekea shimoni, awataja mameneja wake kama chanzo

Salaam Mendez na Tale ni Wajanja wa mjini Nafikiri ni muda wa Diamond kuangalia meneja ambae Yupo karibu nae sio hawa Wapiga dili, Diamond ameshapata connection za kutosha awache hao kina Tale na mendez mana hao jamaa ni tiara fata upepo, mendez yuko mguu ndani nje kwa ay Tale nae ivo ivo lwa Tip top
 
Diamond ni mraibu na hali yake ni mbaya sana, kama umeona interview yake aliyozungumzia suala la harmorapa-alikua kwenye arosto wazoefu wakimwona wataelewa, ni kama Chris Brown anavyochungulia kaburi kutokana na madawa ya kulevya, aliitwa wakati wa watuhumiwa wa madawa walipoitwa lkini alihijiwa kwa siri na watanzania wakadanganywa kua ni kosa la barabarani. He's in bad shape, Zari
Pia ni kambi moja na wasukuma
 
hakiiiii kama kuna teja anaweza kucheza kwa zile nguvu anazotumia Naseeb mi naomba nipewe unga ili nikapalilie mashamba ya mpunga!
 
Jamani kafanyeni kazi achaneni na umbea, kazi ndio itakuweka mjini na sio umbea umbea.
 
kajaribu kumshusha weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kaona hataaa!
WACHA NIWE SHEIKH YAHYA!

utamtabiria mpk ifike part sevente!
 
Bado sijamuelewa.

Oyah majamaa wa Madale akitoa Part 2 nistueni.
 
meneja bora ni kuhakikisha wasanii wake wanafanya vizuri..

swali makini.. salam ni meneja wa ay, babu tale ni meneja wa tip top yenye wasanii wengi..

mbona hawawaongozi hao wasanii wawe kama diamond na wamebaki kumngangania diamond tu???

number 1 remix nyimbo ambayo imemtoa diamond hao kina salam walikuwa hawapo.. na diamond alimtafuta davido na kumlipa usd 5000 ndio akakubali.. na walionana kwenye fiesta dar ambayo davido alikuja kama top artist

hao mameneja baada ya kuona dogo katoboa wamesusa wasanii wao na wote wamekimbilia kwa diamond.. hawamsaidii hata kulipa kodi ya ofisi ya wcb...

mbona hawafungui ofisi za tip top au wasanii wao wengine..

hii nayo inahitaji digrii kuona wanamnyonya dogo
salam alimkonect dimond na Davido
 
Back
Top Bottom