BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Eeeh.... ataendelea lini????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji115][emoji115]Na ishu yoyote ukiona shigongo anazungumzia negative kaa ukijua interests zake zimeingiliwa.
Alikuwa anataka kuona reaction si anajua Mondi anakubalikaEeeh.... ataendelea lini????
Nenda insta ameelezea vizuriUngefafanua kaka mkuu kvp jamaa anaelekea shimoni?kvp mameneja wake wanampeleka jamaa shimoni?
Kwa sababu wana dalili zote za kimaslahi ya kwao wenyewe wawili. Shigongo ana hoja.Mmiliki wa kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo ameandika barua yenye ujumbe mzito kwa Diamond kupitia mtandao wa Instagram.
Kupitia mtandao huo, Shigongo ameandika:
Nampenda Diamond sana, tena sana (sina uhakika kama analifahamu hili). I am too proud of him! Ni fighter (mpiganaji), from Tandale to Beverly Hills with Neyo kwenye Video ya Wimbo wa Mary You ambao nimemaliza kuuangalia kwenye YouTube hakika si kitu kidogo. Nafahamu kwa sababu nimeanzia chini sana kimaisha.
Nikimkumbuka Diamond tangu siku ya kwanza nilipomuona hakika nina kila sababu ya kumuita is the true sign of Tanzania. Bila elimu ya kubwa, bila connection, bila fedha ameweza kuvuka vizingiti vyote hadi hapo alipo. Hakika ni mfano wa kuigwa kwa kila kijana wa nchi hii na duniani kote. BRAVO!
LAKINI ninayo machache ya kusema na ninaomba wale wepesi wa kutukana wanivumilie nitoe ushauri wangu kwa Diamond kama mzazi, kaka na Mtanzania mwenzake. Huko ANAKOELEKEA DIAMOND KUNA SHIMO, ASIPORUKA ATATUMBUKIA NA HUO NDIYO UTAKUWA MWISHO WAKE. Kwenye shimo hili Diamond anapelekwa na watu watatu, nao ni NASEEB ABDUL, BABU TALE NA SALAAM.
Nimemtaja Naseeb kwa sababu Diamond na Naseeb ni watu wawili tofauti.
Nitaendelea kesho.
Unadhani kwanini Shigongo anahisi Sallam na Babutale wanampoteza Diamond?