chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Ohoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makala ya kibiashara hiyo,
Watanzania wenzangu mvua zinanyesha shikeni jembe mkalime
hakiiiii kama kuna teja anaweza kucheza kwa zile nguvu anazotumia Naseeb mi naomba nipewe unga ili nikapalilie mashamba ya mpunga!Diamond ni mraibu na hali yake ni mbaya sana, kama umeona interview yake aliyozungumzia suala la harmorapa-alikua kwenye arosto wazoefu wakimwona wataelewa, ni kama Chris Brown anavyochungulia kaburi kutokana na madawa ya kulevya, aliitwa wakati wa watuhumiwa wa madawa walipoitwa lkini alihijiwa kwa siri na watanzania wakadanganywa kua ni kosa la barabarani. He's in bad shape, Zari
Pia ni kambi moja na wasukuma
Unaelekea unapenda sana umbeya na huna kazi unayofanya ya maana kukupa kipatoNamkubali sana erick shigongo kwa hekima zake!
Hahahahahahahakiiiii kama kuna teja anaweza kucheza kwa zile nguvu anazotumia Naseeb mi naomba nipewe unga ili nikapalilie mashamba ya mpunga!
Yaani Watu wafatilie Makara aisee.Makala ya kibiashara hiyo,
Watanzania wenzangu mvua zinanyesha shikeni jembe mkalime
diamond kuingia shimoni ni siku atakayo vunja masharti
mbali na hapo atazidi kung'ara. kama shigongo ameshaona upande ule muda ndo msema kwelii.
salam alimkonect dimond na Davidomeneja bora ni kuhakikisha wasanii wake wanafanya vizuri..
swali makini.. salam ni meneja wa ay, babu tale ni meneja wa tip top yenye wasanii wengi..
mbona hawawaongozi hao wasanii wawe kama diamond na wamebaki kumngangania diamond tu???
number 1 remix nyimbo ambayo imemtoa diamond hao kina salam walikuwa hawapo.. na diamond alimtafuta davido na kumlipa usd 5000 ndio akakubali.. na walionana kwenye fiesta dar ambayo davido alikuja kama top artist
hao mameneja baada ya kuona dogo katoboa wamesusa wasanii wao na wote wamekimbilia kwa diamond.. hawamsaidii hata kulipa kodi ya ofisi ya wcb...
mbona hawafungui ofisi za tip top au wasanii wao wengine..
hii nayo inahitaji digrii kuona wanamnyonya dogo