Shigongo adai Diamond anaelekea shimoni, awataja mameneja wake kama chanzo

hakiiiii kama kuna teja anaweza kucheza kwa zile nguvu anazotumia Naseeb mi naomba nipewe unga ili nikapalilie mashamba ya mpunga!
Yanawapatia nguvu ambazo zinawamaliza, usimfananishe na mateja ambao wanapitisha siku 3 kwa chipsi za kushare,yeye ana kila kitu.hata kwenye ngono wana nguvu ajabu ila last stage anakua biskuti,ule mwili aliokua nao mond kwani ndio anao sasaivi! Ule mkono kile kifua hujayaona magoti yake yalivyokwisha
 
Ss ndio kaandika nn?nway basi ilo shimo ataliruka ili asitumbukie
 
[emoji34] [emoji15] HE!!!!
 
Ndio akili zetu wabongo za kimasikini, kumsubiria mtu ashuke alafu iweje, diamond kaza hata bakhresa walimtabiria atashuka kaanza na mikate, mandazi mara unga leo bakhresa ana bidhaa zaidi ya kumi sokoni, diamond platnumz kushuka kimziki atashuka muda wake ukifika na hata akifa kimziki bado kiuchumi atakuwa stable, leo hii ana label, studio na amefungua wasafi.com kwa ajili ya kuuza nyimbo online (idea kama ikifanikiwa, diamond atameki ela ndefu vibaya sana), perfume na bado Kuna bidhaa nyingi atauza kwa kutumia jina lake. Alafu mbona kila siku mnatabiria diamond kushuka kwani wasanii wengine hamuwaoni, manake tokea 2013 mlianza kutabiri lkn mpaka leo dogo yupo juu, alafu msipende kujipa unabii kwa kutabiri maanguko ya wenzenu wakati ww hujui unaanguka lini na huyo shigongo ana stress mitandao ya jamii inampa stress kwani siku hizi habari zake za kwenye magazeti watu washazisoma mitandaoni na ndio maana mauzo ya magazeti ya udaku yamepungua sana na msishangae nae akashindwa kuiendesha kampuni yake.
 
Nawaza au hao mameneja ndo wanamsainisha mkataba kutangaza rangi za kijani jamaa anajaribu mshauri asije tumbukia kwenye hilo shimo....naendelea waza bado
 
Mtu anayemiliki magazeti ya rangirangi kama yale mnachulia serious kweli?
 
huyu naye aache umbeya wake

sijui magazeti yake huwa yana doda bila kumtaja diamond
 
la kuuza nyimbo zake kwa pesa,yaan bila pesa watu washindwe kusikiliza au kuona video zake...
Hili ni shimo...bado hatujafika huko..
namshangaa sana huyu shigongo....babutale alikuwa na diamond longtime kiasi fulani amechangia kukuwa kwa diamond maana amemanage hadi hapo alipofika.
 
Mkuu ali ngum sasa ivi lazima salaam ajiweke pale, mbali na kuwa meneje ni mshamba pia na ukuda mwingi.
 
Eric hana jipya coz hataki zungumzia walikomtoa diamond coz hata mond hajawah lalama I think boss paparaz ajikite kwenye street university education kama imemshinda arudi kolomije akawasaidie kujikwamua kwa kugawa his tiths
 
Mhhhhhhhhhhhh!
 
of course diamond is on the peak of his success
 
kumbuka hao ndio wamemfikisha hapo
 
Na ishu yoyote ukiona shigongo anazungumzia negative kaa ukijua interests zake zimeingiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…