Sio kweli ndugu hata colabo ya My number one remix, Chibu ndio alihangaikia mwenyewe baada ya Davido kuja dar alilipie almost 5000 USd hujiulizi hao mameneja wamnganganie tu Tu chibu kwani ndio msanii pekee wanae manage?kumbuka hao ndio wamemfikisha hapo
Yani mi nasubiri hizo hoja zake lakini kwa utangulizi tuu lazima atajaribu kutuambia kuwa hao mamanager watachangia kumshusha... Nitategemea atwambie ni wakina nani wamemfikisha hapo Diamond? Yani Diamond akishawishika kutaka kuwaacha watu hawa waliompa mafanikio nanma hii basi sitoshangaa siku akishawishika na kukubali kuwa uenda Esma na Doreen wana mroga.Angejitahidi kutueleza na michango ya hao mameneja kwenye mafanikio ya Diamond. Sijaelewa kipaji chakupiga ramli amekitoa wapi siku hizi!
Hata hivyo kwenye entertainment industry hakuna atakaye last forever.
Bangi anavuta lkn unga nakataaYanawapatia nguvu ambazo zinawamaliza, usimfananishe na mateja ambao wanapitisha siku 3 kwa chipsi za kushare,yeye ana kila kitu.hata kwenye ngono wana nguvu ajabu ila last stage anakua biskuti,ule mwili aliokua nao mond kwani ndio anao sasaivi! Ule mkono kile kifua hujayaona magoti yake yalivyokwisha
Vyote hivyo bila afya vina faida gani?!Ndio akili zetu wabongo za kimasikini, kumsubiria mtu ashuke alafu iweje, diamond kaza hata bakhresa walimtabiria atashuka kaanza na mikate, mandazi mara unga leo bakhresa ana bidhaa zaidi ya kumi sokoni, diamond platnumz kushuka kimziki atashuka muda wake ukifika na hata akifa kimziki bado kiuchumi atakuwa stable, leo hii ana label, studio na amefungua wasafi.com kwa ajili ya kuuza nyimbo online (idea kama ikifanikiwa, diamond atameki ela ndefu vibaya sana), perfume na bado Kuna bidhaa nyingi atauza kwa kutumia jina lake. Alafu mbona kila siku mnatabiria diamond kushuka kwani wasanii wengine hamuwaoni, manake tokea 2013 mlianza kutabiri lkn mpaka leo dogo yupo juu, alafu msipende kujipa unabii kwa kutabiri maanguko ya wenzenu wakati ww hujui unaanguka lini na huyo shigongo ana stress mitandao ya jamii inampa stress kwani siku hizi habari zake za kwenye magazeti watu washazisoma mitandaoni na ndio maana mauzo ya magazeti ya udaku yamepungua sana na msishangae nae akashindwa kuiendesha kampuni yake.
Hilo sharti la jumatano ndo lipi?lile sharti la kila jumatano??
Kwenye gazeti gani itaendelea?
Makala ya kibiashara hiyo,
Watanzania wenzangu mvua zinanyesha shikeni jembe mkalime

Hivi hakuna wanaotabiriaga watu kupanda, maana wanaotabiria watu kushuka wamekuwa wengi sana ?Juz tu Majani alimtabiria diamond kushuka leo tena Shigongo
mimi mwenyewe nashangaa kila siku diamond diamond diamond wakati nchi inawanamuziki wangependa kupata hizo kiki za kuandikwa andikwa ili angalau watoke, ila kila siku wanamuongelea mtu mmoja tu, basi wamuongelee king wao ally kiba ila chakushangaza hata team team kila siku wanajaza page kwa ajili ya mambo ya diamond kuliko ya msanii waoNdio akili zetu wabongo za kimasikini, kumsubiria mtu ashuke alafu iweje, diamond kaza hata bakhresa walimtabiria atashuka kaanza na mikate, mandazi mara unga leo bakhresa ana bidhaa zaidi ya kumi sokoni, diamond platnumz kushuka kimziki atashuka muda wake ukifika na hata akifa kimziki bado kiuchumi atakuwa stable, leo hii ana label, studio na amefungua wasafi.com kwa ajili ya kuuza nyimbo online (idea kama ikifanikiwa, diamond atameki ela ndefu vibaya sana), perfume na bado Kuna bidhaa nyingi atauza kwa kutumia jina lake. Alafu mbona kila siku mnatabiria diamond kushuka kwani wasanii wengine hamuwaoni, manake tokea 2013 mlianza kutabiri lkn mpaka leo dogo yupo juu, alafu msipende kujipa unabii kwa kutabiri maanguko ya wenzenu wakati ww hujui unaanguka lini na huyo shigongo ana stress mitandao ya jamii inampa stress kwani siku hizi habari zake za kwenye magazeti watu washazisoma mitandaoni na ndio maana mauzo ya magazeti ya udaku yamepungua sana na msishangae nae akashindwa kuiendesha kampuni yake.
hata mimi huwa nashangaa kila siku diamond diamond diamond wakati nchi ina wanamziki wengi wasio na idadi na wangependa hizo kiki za kuandikwa andikwa angalau wapate show, lakini kila siku wamekazana na mtu mmoja tu, basi wamuandike huyo king wao alikiba lakiniw api tena hata team kiba wanakazi ya kujaza kurasa kuhusu diamond kuliko wanavyomuandika msanii waoNdio akili zetu wabongo za kimasikini, kumsubiria mtu ashuke alafu iweje, diamond kaza hata bakhresa walimtabiria atashuka kaanza na mikate, mandazi mara unga leo bakhresa ana bidhaa zaidi ya kumi sokoni, diamond platnumz kushuka kimziki atashuka muda wake ukifika na hata akifa kimziki bado kiuchumi atakuwa stable, leo hii ana label, studio na amefungua wasafi.com kwa ajili ya kuuza nyimbo online (idea kama ikifanikiwa, diamond atameki ela ndefu vibaya sana), perfume na bado Kuna bidhaa nyingi atauza kwa kutumia jina lake. Alafu mbona kila siku mnatabiria diamond kushuka kwani wasanii wengine hamuwaoni, manake tokea 2013 mlianza kutabiri lkn mpaka leo dogo yupo juu, alafu msipende kujipa unabii kwa kutabiri maanguko ya wenzenu wakati ww hujui unaanguka lini na huyo shigongo ana stress mitandao ya jamii inampa stress kwani siku hizi habari zake za kwenye magazeti watu washazisoma mitandaoni na ndio maana mauzo ya magazeti ya udaku yamepungua sana na msishangae nae akashindwa kuiendesha kampuni yake.

Unless anazungumzia issue za Diamond kuside na kina Magufuli, CCM ambao mpaka leo Shigongo anajuta kuwafahamu, maana wanamnywesha maji badala ya kumlipa deni.
Otherwise, Shigongo ni moja ya watu waliojaribu sana kumshusha Diamond kisa tu kagoma kuperform kwenye Tamasha la Matumaini kwa hela ndogo.
Shigongo na magazeti yake wamewahi kufanya polls na eti Kiba akaibuka juu ya Diamond, wamewahi kusema Diamond anauza madawa ya kulevya etc etc, na hakushuka.
Ngoja tusubiri.
Angejitabiria yeye kwanza na Magazeti yake ya kishambenga na uchonganishi....
Shigongo ana hali mbaya na anatafuta nafuu kwa kulinganisha mdororo wake wa kiuchumi na waliomtangulia kiuchumi kama nao wako kwenye hali ngumu kama ya kwake