Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

Ivi tatizo kuwa diamond au #tusipangiane# kuharibu brand ya mtu sio kitu rahisi hivo kaanzia mbaaaaali mara ooh mdogo wangu ooh ushauri mifi kabisa kiki zingine zinatia kinyaa shigongo kumbe mweupe kichwani kiasi hicho bora utumwe india kutibiwa sio kwa akili hizo kafie mbele mmezoe kuwanyonya wasanii umbwa nyie in manji's voice kama hula hela tulia waachie wenye hela za kununua show kama Vodacom[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Shigongo anakosea sana kama umeshindwa bei wapo wanaoweza. Hata kina wizkid ndio kinachowabeba within Nigeria huwezi kukuta wizkidayo kaenda kupiga show mwembeyanga ya promota anayebeep
 
Ngoja nikwambie kitu mkuu,Huwezi kufanya show ya mil 10 Tanzania halafu ukategemea utalipwa mil200 Ulaya au Naijeria!!

Mapromota wanaangalia bei za shows zako kuanzia nchini kwako kwanza!!

Muziki unathaminiwa zaidi kwenu,halafu baadae ndio unatoka nje ya mipaka!!sasa ukishuka thamani huku kwenu unategemea watu wa nje watakuthamini?!
Unaposema msanii anakua ni pamoja na bei za Shows kupanda!!

Shigongo ni moja ya watu walioiangusha Bongo movie!!sasa anataka kuhamia kwenye muziki,wadau na mashabiki tumekataa!!

Halafu leo yuko na diamond,kesho atataka Alikiba nae ashushe bei za show zake,USIMTETEE kwa sababu ametajwa Diamond usiyempenda!!
Huyu jamaa ni Jini mkata kamba,hapaswi kutetewa
Wasanii wana majina makubwa lakini mpaka leo wanaishi maisha ya kupanga,wanapanda daladala,hata wakiumwa hawawezi kujitibu mpaka tufanye donation[emoji22]!

Tumechoka kuzika maskini wenye majina makubwa kwasababu ya Uteja
 
Hahaha we jamaa bhana
huna hoja ya msingi. nadhani ungesoma ushauri wa shigingo kwanza ndipo utoe maoni. haya maoni yako hayana tofauti na watoa maoni ya wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu wa 2015. tatizo wabongo mihemko mingi kuliko kutafiti.
 
mbona shigongo ana hoja ya msingi sana tena ni ushauri kama kaka kwa mdogo wake. Povu la Babu Tale lilitokana na nini hapo? au anahisi kibarua chake hatarini!?
 
Shigongo got a point,credibility to the loyal fans (Chibu's hugest fan base ipo hapa TZ).

Got no words zaid ya ayo niliyoyasema.
Tciao
 
huna hoja ya msingi. nadhani ungesoma ushauri wa shigingo kwanza ndipo utoe maoni. haya maoni yako hayana tofauti na watoa maoni ya wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu wa 2015. tatizo wabongo mihemko mingi kuliko kutafiti.
Were ndo umejibu kimuhemko
Hivi unadhani Diamond akifanya show za kiingilio cha 3000 au 5000
Huko nje Nani atakubali kutoa dola 75,000 kumlipa iyo pesa?
Diamond ndo msanii ghali zaidi East Africa maana yake hata uko nje wakimtaka wakicheki profile lake lazima wajipange
 
Shigongo got a point,credibility to the loyal fans (Chibu's hugest fan base ipo hapa TZ).

Got no words zaid ya ayo niliyoyasema.
Tciao
Mkuu hivi chibu akianza kufanya show za 5000 hapa bongo hivi Nani unadhani atatoa pesa ndefu akafanye show Nigeria au Zimbabwe
 
Mkuu hivi chibu akianza kufanya show za 5000 hapa bongo hivi Nani unadhani atatoa pesa ndefu akafanye show Nigeria au Zimbabwe
Sisi watu wa Entertainment we know how to maneuver ayo mambo. There's two approach ya Entertainmet i.e Domestic and International.
Mind in yo head...promota wa ndani ndie anayekufungulia njia na kujua chocho zote,he brands u like no one biznes...international Promoters are there for always said 'events' and endorsements.

Players know their games son.!!
 
Natamani uzi huu DIAMOND (yeye kama yeye mwenyewe asome na si watu wake wa karibu) ausome.
Kuna maneno yamesemwa umu yanaweza kumpa maisha mengine zaid ya haya sasa hv ambayo anayo.

Home kwanza
Loyal Fans kwanza
Die hard fans kwanza
Local Promoters kwanza
Kumbi za ndani na majukwaa ya ndan kwanza

Tciao.!
 
We unadhani hao mapromota wa nje hawafanyi research?
Kwa taarifa yako huwa wanafanya research zao kujua kula kitu kijua gharama zako wakikuaproach huwezi kuwapiga
 
We unadhani hao mapromota wa nje hawafanyi research?
Kwa taarifa yako huwa wanafanya research zao kujua kula kitu kijua gharama zako wakikuaproach huwezi kuwapiga
 
Pamoja na Diamond kuvuma sana, hawezi fanya shoo ya kiingilio kikubwa watu wakaingia hapa Bongo.Ni mzuri lakini hatoi mzuka sana kwa watu waliomzoea.
 
Nyie mnaodai mziki umekua na Diamond yupo sawa,mnaweza lipia hata kiingilio cha elfu 50000 kwenye as diamond?
 
Mjinga gani hapa Bongo alipie show ya diamond kiingilio cha 100000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…