PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ha ha! nyengine nilisikia et mtu kashika bunduki halafu anamwambia mwenzake ntakuchinja!!😀
Hahaha noma sanaSHETANI WA bongo movie
Mi nlishaona jambazi linaenda kuvamia nyumba ya mtu afu linavua viatu nje...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jini anaangalia kushoto na kulia kabla hajavuka barabara.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nliona jini anakodi bodaboda ili kumfukuzia mtu...
kaka acha hiyo, niliona moja wameigiza kama mateso ya Yesu, cha ajabu jamaa kabeba msalaba mara boda boda inapita, nilichoka aisee, manake miaka ya Yesu boda boda zilikuwepo*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
dahHahahha endelea Ku angalia utaona stering anakufa halfu movie inaendelea hyo ndo bongo movie
Hahahaha ha! nyengine nilisikia et mtu kashika bunduki halafu anamwambia mwenzake ntakuchinja!!😀
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jini anaangalia kushoto na kulia kabla hajavuka barabara.
[emoji3] [emoji3]Mi nliona jini anakodi bodaboda ili kumfukuzia mtu...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseeSHETANI WA bongo movie
Na mabuti makubwaJambaz lazima liwe na koti reefu na jua lote hili
Hahaha hatarikaka acha hiyo, niliona moja wameigiza kama mateso ya Yesu, cha ajabu jamaa kabeba msalaba mara boda boda inapita, nilichoka aisee, manake miaka ya Yesu boda boda zilikuwepo
Hahahahaha wataka uitafute?hahahahaha....Movie gani mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi niliona moja ya Christmas, wanaigiza kuzaliwa kwa Yesu. Bikira Maria akamwambia Joseph "nina mimba", Joseph akashtuka "Yesu wangu, utaniambia ya nani".
Shikamoo bongo muvi
Vipi hii app ya kuisoma namba au imekushinda.!?Nimecheza game ya dream league sina upinzani naomba mwenye kujua game kali zaidi aniambie