Shikamoo bongo movie

Shikamoo bongo movie

Nimecheza game ya dream league sina upinzani naomba mwenye kujua game kali zaidi aniambie
 
Mi nlishaona jambazi linaenda kuvamia nyumba ya mtu afu linavua viatu nje...
92aaae965f5b66ae9c1c8650d6764048.jpg
 
*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
kaka acha hiyo, niliona moja wameigiza kama mateso ya Yesu, cha ajabu jamaa kabeba msalaba mara boda boda inapita, nilichoka aisee, manake miaka ya Yesu boda boda zilikuwepo
 
Mimi niliona moja ya Christmas, wanaigiza kuzaliwa kwa Yesu. Bikira Maria akamwambia Joseph "nina mimba", Joseph akashtuka "Yesu wangu, utaniambia ya nani".
Shikamoo bongo muvi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom