Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Pengine Ile satellite yake aliyo rusha imemuongezea nguvu maana ni ya mambo ya kijeshi!
Usisahau jamaa wana shabaha Sana!
 
Wivuu,,,,leo mtu mweusi kauawa kikatili dhidi ya wajomba zako,,,endelea kuwashabikia ipo cku watakuvua chupi ucpobadirika.
 
Wivuu,,,,leo mtu mweusi kauawa kikatili dhidi ya wajomba zako,,,endelea kuwashabikia ipo cku watakuvua chupi ucpobadirika.
Nan alikuambia mtu mweusi huwa hauwawi! Vipi hili tukio ingekuwa mtu mweusi kauwawa na polisi wa kizungu huko US, si ungesema ni kwa sababu ya rangi yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulitaka azitishie mara ngapi hata Adrian Darya aliitishia pia yye na shost yake UK ila wakabakia kubweka tu kaa umbwa

IRAN kaongea kugha ngumu sana mpaka wenyewe wanashangaa [emoji3][emoji16][emoji23]
 
Hao unawasingizia. Wao hawakufanya hivyo kwasababu ya rangi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema hivyo kwa sababu mweusi kauwawa na mswahili mwenzake, ila ingekuwa huyo mswahili tena muandishi wa habari kageuzwa nyama namna hiyo na askari wa kizungu huko uzunguni, ungeconclude hivyohivyo ni kwa sababu ya rangi yake. Polisi hukamata watu wa rangi zote.
 
Wakati bongo tunasheherekea kuishinda corona, Iran wanasheherekea meli zao kufika Venezuela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakati bongo tunasheherekea kuishinda corona, Iran wanasheherekea meli zao kufika Venezuela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iran hawasherehekei hilo la meli kufika Venezuela. Wao hawakuwa na shaka yoyote juu ya usalama wa meli zao na ndio maana wakaamua kuziachia zotee tano kwa pamoja.

Wao watakuwa wanasikitika kwa nini hakutokea kidudu mtu akajichanganya ili wampatie dawa stahiki.
 
Wakati bongo tunasheherekea kuishinda corona, Iran wanasheherekea meli zao kufika Venezuela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wote mnastahili hongera ila AJEMI walijua kuna mpuuzi atajipendekeza ila wapi[emoji3][emoji16][emoji23].....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…