Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Hakuna kitu kinamuuma Trump kama alipojua kuwa Iran analamba dili la dhahabu ktk biashara hiyo...alitamani apewe yeye.
 
Ngoja tumsubiri Sexer atusaidie ufafanuzi hapo.
 
Mkuu mbona wateseka sana kana kwamba wewe ndiye Trump?

Any way kuna salamu zako hapa zinazosema, meli 5 zote ziliwekewa na kupeperusha bendera za Iran ili kuonesha wazi wazi kuwa zamilikiwa na Iran (aliyewekewa vikwazo) na kuwa US na washirika wake wameandaliwa adhabu takatifu endapo yeyote kati yao atazuia chochote ktk meli hizo.

Taarifa inasema kuwa US na washirika wake woote (UK, France, Germany n.k) wanaelewa fika kuwa yeyote atakayejichanganya ktk kuzuia chochote kwenye meli hizo (hata bendera tu ile inayopepea kwenye meli hizo) basi hatopata fursa ya kufanya tena biashara za kimataifa kwa usalama...(kama huelewi maana ya maneno hayo kamuulize Muingereza alichofanyiwa baada ya kujitia kuzuia meli ya Iran, huyu kamwe hatorejea upuuzi ule).

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu kwa hiyo hakuna mahala US kasema anataka kuzikamata hizo meli?! So ni uzushi wenu tu [emoji38][emoji38][emoji38].

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Hahahahaha

Tena Trump ana bahati sana ingekuwa hiki kipindi cha Rais Nejad sijui ingekuwaje...?

Maana akili zao hazitofautiani kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yana badilika Sana mkuu siku Bara la Africa tukiachana na mikataba ya mrahaba + ya kinyonyaji hawa jamaa watapata shidah Sana Duniani pengine tutakuwa hatupo Ila USA atakuja kupitia kipindi kigum Sana!
 
Huoni kama huo ni ubabylon



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bila kujali kama mzigo umefika au haujafika, hivi kati ya anayeweka vikwazo na anayewekewa vikwazo, ni nani mwenye ubabe kwa mwenzake? 😛
Kama unaweka vikwazo halafu havifuatwi ama kufanya kazi utakua una ubabe gani[emoji16]

US PAPER TIGER TU hakuna namna sasa.....

Sent using My COVID-19
 
Kama kichwa kingekuwa na mfuniko,tungefanya mpango tufungue tuangalie kuna chochote kichwani kwako,michango mingine hopeless kabisa ni heli ufe uwe mbolea utastawisha hata kisamvu makaburini.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakika MKUU ilanimecheka sanaaa

Sent using My COVID-19
 
Nasubiri uonyeshe Marekani kusema atakamata hizo meli. Onyesha hilo afu tuendelee, nakungoja...

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Mjomba hawa wapo chini ya vikwanzo na baada ya Iran na Venezuela kupiga mkwara Us wakasema wao wameenda kupambana na drug
Ukisha kuwa mfungwa wa vikwazo wewe popote ni wa kukamatwa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hata ukipewa ushahidi utaupinga tu IRAN anavikwazo vya US ambavyo vinamzuia asiweze kufanya biashara yeyote ile yamafuta nataifa lolote lile DUNIANI



Sent using My COVID-19
 
Hahahaha we noma mfano uliouchukua unaendana na thamini ya muhusika yani yupo yupo tu bora awe mbolea tu
Kama kichwa kingekuwa na mfuniko,tungefanya mpango tufungue tuangalie kuna chochote kichwani kwako,michango mingine hopeless kabisa ni heli ufe uwe mbolea utastawisha hata kisamvu makaburini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata ukipewa ushahidi utaupinga tu IRAN anavikwazo vya US ambavyo vinamzuia asiweze kufanya biashara yeyote ile yamafuta nataifa lolote lile DUNIANI



Sent using My COVID-19
Na atakayefanya biashara na Iran amechagua tutofanya biashara na US. Chagua moja, ufanye biashara na Iran ili uwekewe vikwazo vya kutofanya biashara na US ama usifanye biashara na Iran ili uendelee kufanya deal na US. Kila nchi iko huru kuchagua, halazimishwi mtu. Sasa story zenu meli za ilani kufika Venezuela bila kukamatwa na US mlitaka zikamatwe kwa lipi? Na lini US alisema atazikamata? Onyesheni basi tuendelee na mjadala mbona rahisi tu!.
Hata sisi TZ tunaweza kuagiza mafuta kutoka Iran lakin matokeo yake ni kupoteza kufanya deal na US.
Hapa hoja tu.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…