babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Lazima niteske kwakuona wahuni,wauza ngada,wezi wa magari,wadhalilishaji wanawake kingono ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unateseka kwani?!
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Hali ya wasiwasi kati ya Marekani na Iran imechukua mkondo mpya nchini Venezuela.Nitajua kweli US kashindwa kuzikamata hizo meli. Na nitaunga mkono hoja ya mtoa mada.
Nawe vipi ukishindwa kuonyesha? Utakuwa na maneno gani?
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Unaonea wivu wanaume wenzio kuchezea papuchi ya Suzanne! Au wewe ni ke?! Usiteseke bure mtafute na wewe umtafune, kwanini uteseke [emoji38][emoji38][emoji38]Lazima niteske kwakuona wahuni,wauza ngada,wezi wa magari,wadhalilishaji wanawake kingono ....
Wakipambana wakabidhiwe nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi siwezi kufanya uchafu huo. Haya ni mambo yanayofanywa na watu wa hivyo na wasio na maadiliUnaonea wivu wanaume wenzio kuchezea papuchi ya Suzanne! Au wewe ni ke?! Usiteseke bure mtafute na wewe umtafune, kwanini uteseke [emoji38][emoji38][emoji38]
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Kwa hiyo ndo walifikiria kuzikamata?! Tuonyeshe huo uamuzi waliokuja nao wa kuzikamata, kwanza Reuters wenyewe ambao hao bbc Swahili wanasema waliambiwa na hao maofisa wa Washington hawajalipoti hivyo. Afu check hiyo hapo chini kutoka bbc news ile wanayosoma wazungu wenyeweHuku maafisa wakikiambia chombo cha habari cha Reuters kwamba Washington inafikiria jinsi ya kukabiliana na meli inayokiuka vikwazo vyake(kakabiliana vipi na meli za WANAUME WAKIAJEMI?)Hali ya wasiwasi kati ya Marekani na Iran imechukua mkondo mpya nchini Venezuela.
Likiwa Katikati ya mlipuko wa corona, taifa hilo la Amerika ya Kusini lilikumbwa na uhaba mkubwa wa gesi suala ambalo limeathiri vibaya uchumi wake na taifa la Nicholas Maduro badala yake limeamua kutafuta usaidizi kutoka kwa Iran.
Utawala wa rais Donald Trump kwa muda mrefu umekuwa umeiwekea vikwazo vya kisera ambavyo vinalenga kushinikiza kuanguka kwa uongozi wa Maduro, ambaye anamshutumu kuwa mtawala haramu.
Hiyo ndio Iran ambayo pia nayo inakabiliwa na vikwazo ikishutumiwa na Marekani kwa kuwa mfadhili mkubwa wa ugaidi wa kimataifa.
Uhasama kati ya Washington na Tehran uliongezeka wiki hii baada ya meli kadhaa za kubeba mafuta kutoka Venezuela kuonekana zikitoka Iran na mafuta.
Huku maafisa wakikiambia chombo cha habari cha Reuters kwamba Washington inafikiria jinsi ya kukabiliana na meli inayokiuka vikwazo vyake, siku ya Jumanne wizara ya fedha iliiwekea vikwazo kampuni moja ya China inayofanya kazi katika shirika la ndege la Iran, Mahan Air , ambayo inaishutumu kwa kushirikiana na magaidi na kuchukua dhahabu kutoka Venezuela.
Chanzo BBC swahili
US PAPER TIGER
Sent using My COVID-19
Kwa technology ipi waliyonayo hao wazew wa kukopi?Wana jeshi wa Venezuela nao walienda kuzipokea meli za iran yani apo ilikuwa sio mkwara nilikuwa Nina subiria kweli maana Iran walisema kama vip usa wamuulize UK kuhusu utekaji wao wameli!!!
Nadhani ile meli ya uk ilitekwa sio kibabe tu bali technology ilihusika!
Hamsemagi[emoji38][emoji38] ila ni dhahiri unamind mzigo, ila si kaja kwenu huko au? Bas jitafunie make yuko karibu huko na si mchoyo sababu dereva naye alikuwa anarainisha kidogokidogo[emoji3][emoji3] na pia huko kwenu mnamtafunaga toka kitambo hadi mlishamzalisha, kazaa na kada.Binafsi siwezi kufanya uchafu huo. Haya ni mambo yanayofanywa na watu wa hivyo na wasio na maadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachofanyika Venezuela kinaonyesha wazi jinsi gani watu ni wakatili.
US inahisi inamkomoa rais wa venezuela ila yeye ataendelea kuishi kwenye mansion zake anakula bata wanaoumia na hizi sanctions ni wananchi wa kawaida. Rais wa venezuela ana vijitabia vinaendana na jiwe, Iran nao kuingilia kati hawasaidii wananchi, yote wanazidi kumsupport rais kilaza ambaye nchi imemshinda amebaki kutumia nguvu kwenye kila kitu.
Hali ya Venezuela ni mbaya mno, na asilimia kubwa imesababishwa na kichwa kimoja tu kinachojifanya kinajua kila kitu. Such a waste
Iulize global hawk inaweza ikakujibu pengine [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo ndo walifikiria kuzikamata?! Tuonyeshe huo uamuzi waliokuja nao wa kuzikamata, kwanza Reuters wenyewe ambao hao bbc Swahili wanasema waliambiwa na hao maofisa wa Washington hawajalipoti hivyo. Afu check hiyo hapo chini kutoka bbc news ile wanayosoma wazungu wenyewe
A flotilla of US Navy and Coast Guard vessels is patrolling the Caribbean Sea on a mission to counter illicit drug trafficking. But US officials have not announced any plan to stop the Iranian tankers.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Nimesema wanasoma wazungu, uwe unasoma na kuelewa basi, sio kusoma tu! Umeelewa lakini walichoandika au nikutafsirie?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahio BBC swahili sio yawazungu wenyewe ?!
US angefanya upuuzi alotaka kuufanya angeteseka milele asee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using My COVID-19
Nimesema IRAN hashuhulishwi navikwazo vyakipuuzi [emoji3][emoji16][emoji4][emoji23]Nimesema wanasoma wazungu, uwe unasoma na kuelewa basi, sio kusoma tu! Umeelewa lakini walichoandika au nikutafsirie?!
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Sisi tunayo ipi!?
Nimesema IRAN hashuhulishwi navikwazo vyakipuuzi [emoji3][emoji16][emoji4][emoji23]
US PAPER TIGER
Sent using My COVID-19
Ulitaka izame?! Nishakuambia onyesha US aliposema atakamata hizo meli lakin hadi sasa holaa! Mmekalia kujitekenya na kucheka wenyewe.Aaaagh! Meli ya Pili iliyobeba shehena ya mafuta ya Irani imefika salama pasi na kidudu mtu yeyote kuibughudhi kwenye safari ya masiku kadhaa majini.
Sexer, hivi US na washirika wake wababe kina UK, France na Germany wanafeli wapi ktk kusimamia vikwazo wanavyoweka?
View attachment 1459301
Hapo ulipo reply [emoji4]Wapi ulivyosema hivyo? [emoji3][emoji3][emoji3]
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Ukitaka mzigo wako ufke salama unapo elekea mkabidhi MUAJEMI tu ataufikisha [emoji23][emoji16][emoji4][emoji23][emoji1]Cuba anasema kufika salama meli ya mafuta ya Iran nchini Venezuela kunaashiria kuwa zile zama za ubabe za Marekani kuzuia bidhaa fulani zisafirishwazo majini kutoka au kwenda kwa nchi hasimu zimeisha.
View attachment 1459300