Huku maafisa wakikiambia chombo cha habari cha Reuters kwamba Washington inafikiria jinsi ya kukabiliana na meli inayokiuka vikwazo vyake(kakabiliana vipi na meli za WANAUME WAKIAJEMI?)Hali ya wasiwasi kati ya Marekani na Iran imechukua mkondo mpya nchini Venezuela.
Likiwa Katikati ya mlipuko wa corona, taifa hilo la Amerika ya Kusini lilikumbwa na uhaba mkubwa wa gesi suala ambalo limeathiri vibaya uchumi wake na taifa la Nicholas Maduro badala yake limeamua kutafuta usaidizi kutoka kwa Iran.
Utawala wa rais Donald Trump kwa muda mrefu umekuwa umeiwekea vikwazo vya kisera ambavyo vinalenga kushinikiza kuanguka kwa uongozi wa Maduro, ambaye anamshutumu kuwa mtawala haramu.
Hiyo ndio Iran ambayo pia nayo inakabiliwa na vikwazo ikishutumiwa na Marekani kwa kuwa mfadhili mkubwa wa ugaidi wa kimataifa.
Uhasama kati ya Washington na Tehran uliongezeka wiki hii baada ya meli kadhaa za kubeba mafuta kutoka Venezuela kuonekana zikitoka Iran na mafuta.
Huku maafisa wakikiambia chombo cha habari cha Reuters kwamba Washington inafikiria jinsi ya kukabiliana na meli inayokiuka vikwazo vyake, siku ya Jumanne wizara ya fedha iliiwekea vikwazo kampuni moja ya China inayofanya kazi katika shirika la ndege la Iran, Mahan Air , ambayo inaishutumu kwa kushirikiana na magaidi na kuchukua dhahabu kutoka Venezuela.
Chanzo BBC swahili
US PAPER TIGER
Sent using My COVID-19