πππππAna sahau moto na uchumi ni vitu 2 tofautiMagoli yamehamishwa kwenda kwenye uchumiπ π π π π π
wewe ungekuwa hivyo watu wasingekufuata DM. we huoni watu wamepungua kukufuata huko DM tangu uweke hiyo pichaWewe wasema.
Ule uzushi wako uligonga mwamba hapaMagoli yamehamishwa kwenda kwenye uchumi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na bado mtaokoteza kila source, UK alipata zawadi yake alipojaribu kuzuia. Marekani hana ubavu, aliishia mikwara tu.Ule uzushi wako uligonga mwamba hapa
[emoji116][emoji116][emoji116]
A flotilla of US Navy and Coast Guard vessels is patrolling the Caribbean Sea on a mission to counter illicit drug trafficking. But US officials have not announced any plan to stop the Iranian tankers.
BBC News
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Itazikamatia wapi wakati baadhi zimeanza hadi kushua mzigo?Bado tu hujapata hiyo kauli ya Marekani ya kusema itakamata meli za Iran?! Ndo kusema umeleta uzushi hapa jukwaani?.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Cheki hilo dude linavyoambaambaa majini.Aaaagh! Meli ya Pili iliyobeba shehena ya mafuta ya Irani imefika salama pasi na kidudu mtu yeyote kuibughudhi kwenye safari ya masiku kadhaa majini.
Sexer, hivi US na washirika wake wababe kina UK, France na Germany wanafeli wapi ktk kusimamia vikwazo wanavyoweka?
View attachment 1459301
imekula kwao hao mapapa wa ubepariDah! Ukiwekeza kwenye Elimu basi hakuna wakikutisha! Iran imewekeza sana kwenye Elimu kati ya Nchi zote zilizowekewa Vikwazo ni Iran na NKorea tu ndo zimepiga hatua...Leo huwezi amini Iran ina teknolojia ya kuchimba mafuta na Gas ambapo apo awali walikua ni BP ya UK, wa US wa Canada, Russia ,Wachina na Nchi kadhaa Dunia ya Kwanza....Leo Iran inaisaidia Venezuela wataalamu na Vifaa mitambo ya kufufua sekta yake ya OIl....Iran kalamba dili nono la Tani 9 la dhahabu ,US akachukia sana kua iweje Iran ipewe dhahabu zote hizo....Na Iran ikifanikiwa kurejesha mitambo ya Venezuela kwenye uzalishaji mafuta basi Rais Madulo atakua vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ SexerHivi meli ilikuwa inatembea anutical mile ngapi kwasaa au ilikuwa na Kasi Kama Lamborghini ikawapita shaa au iliondoka wamelala maana tuliahidiwa haiwezi katisha ghuba ya uajemi wamarekani wa tandahimba,buza, na uswekeni mkuje pande hii mtupe majibu mujarab
Sent from my I phone
Unataka tuamini huo uzushi wako ambao umeshindwa kuuthibitisha [emoji12][emoji12][emoji12]Na bado mtaokoteza kila source, UK alipata zawadi yake alipojaribu kuzuia. Marekani hana ubavu, aliishia mikwara tu.
Nalapili lishawasili nasikia MKUU.....
Haifikii hata kipande ila anavyowapelekesha sasa utadhania yeye ndio baba wadunia [emoji4]Hao uliowataja ndo level zake. Iran haifiki hata robo ya uchumi wa California.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Hakuna nchi inaweza kupelekeshwa na kanchi kaIran, na hakuna nchi inaitegemea Iran kwa chochote, yaani hata TZ inaweza kupelekesha nchi sababu Kuna nchi zinaitegemea TZ.Haifikii hata kipande ila anavyowapelekesha sasa utadhania yeye ndio baba wadunia [emoji4]
Sent using My COVID-19
Hakuna nchi inayoitegemea [emoji16][emoji16]Hakuna nchi inaweza kupelekeshwa na kanchi kaIran, na hakuna nchi inaitegemea Iran kwa chochote, yaani hata TZ inaweza kupelekesha nchi sababu Kuna nchi zinaitegemea TZ.
Kabsa asee alipelekeshwa puta mnooo.....Ile dibaji aliyoiandika IRAN kwenye vile Vijiji viwili vya MAREKANI pale IRAQ siyo ya Kitoto.
Kuanzia pale Marekani na Washirika wake hawachezi karibu nae tena.
Kama Marekani angetaka kuzikamata unafikiri angeshindwa?Manowari za marekani zilikuwa ziko katika process ya kui blockade Venezuela,,na Kama hizo tanker zingekamatwa na marekani kulikuwa hakuna uwezekano wa kuzuia zaidi ya kusubilia nao wakamate tanker za US,,ambazo hata hivyo sikuhizi hazichukui Sana mafuta ya mashariki ya Kati,baada ya US kuwa mzalishaji mkubwa wa mafuta pia
Kama Marekani angetaka kuzikamata unafikiri angeshindwa?
Kwa akili yako Venezuela anamtegemea Iran?! [emoji38][emoji38][emoji38], huyo alishazinguliwa na bwana ake saiz ana maisha magumu mno. Yaani yamekutana pipa na mfuniko wakati hapo jirani tu Colombia maisha matamu.Hakuna nchi inayoitegemea [emoji16][emoji16]
Wakat leo kuna raia washapelekewa wese huko
Super AJEMI[emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using My COVID-19
Hua nawapenda vilaza ka wewe mnaoanza reply zenu kwa matusi. Tatizo kila mkifikiria marekani mnafikiria kunyonywa tu, kwani huyu tako mwenzako akiondoka umeambiwa atakayefuata lazima awe kawekwa na wamarekani? Hiyo excuse imefika muda sasa inabidi muiache, unajifanya unajua siasa za kimataifa kumbe stupid tu umekariri ujinga. Unaanza kuniandikia conspiracy theories ukijifanya mjuaji kumbe umesoma kwenye kiblog cha udaku online huna evidence yoyote ile.Hujielewi we halafu hufatilii siasa za kimataifa bora ukae kimya, hivi wewe Kama ndio ingekuwa Rais wa Venezuela ungetoka madarakani ili kumfuraisha mmarekani aweke kibaraka wake ili anyonye asilimali za venezuela au ungepambana?. Migogoro ya kimataifa uwez kuiamua Kama mechi ya mpira wa miguu kuweka ushabiki ,Nchi za magharibi zinaangalia maslai yao tu ,kwani we unaamini Gaddafi kauliwa sababu ya democracy ?, Na Kama sababu ndio democracy inafaida gani Sasa hiyo democracy maana Sasa hivi maisha yamekua hovyo kuliko hapo democracy ilivyokua haipo .Kama hufatilii hii michezo yao hawa mbwa wa magharibi utakua unabwabwaja vitu visivyo na maana kila cku.wazungu walichofanikiwa kuiaminisha dunia wao wakarimu lakin Kuna cri ndani kwa ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyesema rais anayesikiliza US nani? Haha mbona stupid people mnapenda kulisha watu maneno? Soma thread yangu nionyeshe wapi nimesema rais anayesikiliza US ni mzuri. Kama akili ni ndogo haiwezi kufikiri usiwe unajibu.kwako wewe rais anayesikiliza kila linalosemwa na US ndio rais mzuri na mwenye akili. hata akiambiwa aruhusu ushoga akikataa basi pia anakuwa mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app