Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Magoli yamehamishwa kwenda kwenye uchumi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ule uzushi wako uligonga mwamba hapa
[emoji116][emoji116][emoji116]

A flotilla of US Navy and Coast Guard vessels is patrolling the Caribbean Sea on a mission to counter illicit drug trafficking. But US officials have not announced any plan to stop the Iranian tankers.

BBC News

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Na bado mtaokoteza kila source, UK alipata zawadi yake alipojaribu kuzuia. Marekani hana ubavu, aliishia mikwara tu.
 
Dah! Ukiwekeza kwenye Elimu basi hakuna wakikutisha! Iran imewekeza sana kwenye Elimu kati ya Nchi zote zilizowekewa Vikwazo ni Iran na NKorea tu ndo zimepiga hatua...Leo huwezi amini Iran ina teknolojia ya kuchimba mafuta na Gas ambapo apo awali walikua ni BP ya UK, wa US wa Canada, Russia ,Wachina na Nchi kadhaa Dunia ya Kwanza....Leo Iran inaisaidia Venezuela wataalamu na Vifaa mitambo ya kufufua sekta yake ya OIl....Iran kalamba dili nono la Tani 9 la dhahabu ,US akachukia sana kua iweje Iran ipewe dhahabu zote hizo....Na Iran ikifanikiwa kurejesha mitambo ya Venezuela kwenye uzalishaji mafuta basi Rais Madulo atakua vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
imekula kwao hao mapapa wa ubepari
 
Hivi meli ilikuwa inatembea anutical mile ngapi kwasaa au ilikuwa na Kasi Kama Lamborghini ikawapita shaa au iliondoka wamelala maana tuliahidiwa haiwezi katisha ghuba ya uajemi wamarekani wa tandahimba,buza, na uswekeni mkuje pande hii mtupe majibu mujarab

Sent from my I phone
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Sexer
 
Na bado mtaokoteza kila source, UK alipata zawadi yake alipojaribu kuzuia. Marekani hana ubavu, aliishia mikwara tu.
Unataka tuamini huo uzushi wako ambao umeshindwa kuuthibitisha [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji116][emoji116][emoji116]

A flotilla of US Navy and Coast Guard vessels is patrolling the Caribbean Sea on a mission to counter illicit drug trafficking. But US officials have not announced any plan to stop the Iranian tankers.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Hao uliowataja ndo level zake. Iran haifiki hata robo ya uchumi wa California.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Haifikii hata kipande ila anavyowapelekesha sasa utadhania yeye ndio baba wadunia [emoji4]

Sent using My COVID-19
 
Haifikii hata kipande ila anavyowapelekesha sasa utadhania yeye ndio baba wadunia [emoji4]

Sent using My COVID-19
Hakuna nchi inaweza kupelekeshwa na kanchi kaIran, na hakuna nchi inaitegemea Iran kwa chochote, yaani hata TZ inaweza kupelekesha nchi sababu Kuna nchi zinaitegemea TZ.
 
Hakuna nchi inaweza kupelekeshwa na kanchi kaIran, na hakuna nchi inaitegemea Iran kwa chochote, yaani hata TZ inaweza kupelekesha nchi sababu Kuna nchi zinaitegemea TZ.
Hakuna nchi inayoitegemea [emoji16][emoji16]
Wakat leo kuna raia washapelekewa wese huko

Super AJEMI[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using My COVID-19
 
Ile dibaji aliyoiandika IRAN kwenye vile Vijiji viwili vya MAREKANI pale IRAQ siyo ya Kitoto.
Kuanzia pale Marekani na Washirika wake hawachezi karibu nae tena.
Kabsa asee alipelekeshwa puta mnooo.....

Sent using My COVID-19
 
Manowari za marekani zilikuwa ziko katika process ya kui blockade Venezuela,,na Kama hizo tanker zingekamatwa na marekani kulikuwa hakuna uwezekano wa kuzuia zaidi ya kusubilia nao wakamate tanker za US,,ambazo hata hivyo sikuhizi hazichukui Sana mafuta ya mashariki ya Kati,baada ya US kuwa mzalishaji mkubwa wa mafuta pia
Kama Marekani angetaka kuzikamata unafikiri angeshindwa?
 
Hakuna nchi inayoitegemea [emoji16][emoji16]
Wakat leo kuna raia washapelekewa wese huko

Super AJEMI[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using My COVID-19
Kwa akili yako Venezuela anamtegemea Iran?! [emoji38][emoji38][emoji38], huyo alishazinguliwa na bwana ake saiz ana maisha magumu mno. Yaani yamekutana pipa na mfuniko wakati hapo jirani tu Colombia maisha matamu.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Hujielewi we halafu hufatilii siasa za kimataifa bora ukae kimya, hivi wewe Kama ndio ingekuwa Rais wa Venezuela ungetoka madarakani ili kumfuraisha mmarekani aweke kibaraka wake ili anyonye asilimali za venezuela au ungepambana?. Migogoro ya kimataifa uwez kuiamua Kama mechi ya mpira wa miguu kuweka ushabiki ,Nchi za magharibi zinaangalia maslai yao tu ,kwani we unaamini Gaddafi kauliwa sababu ya democracy ?, Na Kama sababu ndio democracy inafaida gani Sasa hiyo democracy maana Sasa hivi maisha yamekua hovyo kuliko hapo democracy ilivyokua haipo .Kama hufatilii hii michezo yao hawa mbwa wa magharibi utakua unabwabwaja vitu visivyo na maana kila cku.wazungu walichofanikiwa kuiaminisha dunia wao wakarimu lakin Kuna cri ndani kwa ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hua nawapenda vilaza ka wewe mnaoanza reply zenu kwa matusi. Tatizo kila mkifikiria marekani mnafikiria kunyonywa tu, kwani huyu tako mwenzako akiondoka umeambiwa atakayefuata lazima awe kawekwa na wamarekani? Hiyo excuse imefika muda sasa inabidi muiache, unajifanya unajua siasa za kimataifa kumbe stupid tu umekariri ujinga. Unaanza kuniandikia conspiracy theories ukijifanya mjuaji kumbe umesoma kwenye kiblog cha udaku online huna evidence yoyote ile.

Venezuela sasa hivi huyo rais unayempenda anapambana na nini sasa? Nchi nzima wanakufa njaa, hela imeshuka thamani zaidi ya asilimia milioni kadhaa yaani badala ya kutumia noti zao kununua kitu wanatumia kama karatasi kutengeneza bidhaa, alafu tako ka wewe unakuja kusema anapambana, anapambana au ashashindwa aondoke? Nyie mtabaki mnanyonywa makalio na viongozi kama huyu mshenzi alafu mnabaki sifia tu hadi mwisho yeye amekaa anakula maisha, ana mansion kali kibao, magari mengi, pesa nyingi katunza nje, huyo ndiyo mnasema anapigana na wamarekani au anakusanya kwa ajili ya familia yake? We jamaa mshenzi sana. Huu ujinga wa kuwapiga hela wavenezuela kauanza kabla hata ya sanctions za marekani.

Mbona hataki uchaguzi, hataki kua replaced na mtu yeyote? Mtakaa mnasingizia marekani, ina maana nchi nzima haina watu wa kuweza kugombea ambao ni clean ukiacha yeye peke yake? Excuse za stupid people like you. Nenda venezuela uishi hata wiki uone hali ilivyo ndo utashika adabu, mara mia shithole kama bongo.
 
kwako wewe rais anayesikiliza kila linalosemwa na US ndio rais mzuri na mwenye akili. hata akiambiwa aruhusu ushoga akikataa basi pia anakuwa mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyesema rais anayesikiliza US nani? Haha mbona stupid people mnapenda kulisha watu maneno? Soma thread yangu nionyeshe wapi nimesema rais anayesikiliza US ni mzuri. Kama akili ni ndogo haiwezi kufikiri usiwe unajibu.

A na B wakipigana na nisipomsupport A haimaanishi namsupport B, yaweza kua siwasupport wote wawili. Akili ndogo kasome
 
Back
Top Bottom