Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Another stupid monkey. Blocked.
Kitu hamjakijua ukijibu kwa matusi nakujibu matusi. Ukijibu kutaka kuargue vizuri na mimi nita-argue hivyo hivyo. So step aside stupid monkey, sina muda wa kuongea na wewe. Blocked
 

Navyosema nchi imemshinda ni kwa sababu ameacha sasa hivi kila mtu anaishi anavyojua tu, mfano thamani ya hela yao imeshuka mno, badala ya kujaribu kudeal na hilo anazidi kuprint hela vibaya kitu ambacho mwanauchumi yoyote anajua ni sababu namba moja kuaccelerate hela kushuka.

Mwanzoni akaleta siasa ka za jiwe za kuelekeza bei ya kuexchange USD to their currency, yeye na group lake lote wakaexchange hela kibao, ile wamemaliza tu wakaachia bei ika skyrocket vibaya mno. Sasa hivi amekaa ameacha kila mtu anatumia currency anayoitaka, yaani ukienda Venezuela wengine wanatumia USD, wengine hela ya nchi jirani, wengine bitcoin, dogecoin, nchi haieleweki.

Badala ya kuendesha nchi amejikusanyia billions of dollars kaweka nje then amekaa tu. He doesn’t care kua nchi inaspiral out of control, yupo tu kua liwalo na liwe, yaani kapotezea kuliko aliyekua kajifungia chato, huyu ni kama hayupo, ataonekana kwenye tv siku moja atapotea mazima. Hata polisi badala ya kufanya kazi inabidi wazunguke kutafuta chakula. Its a failed state angeondoka aache mtu mwingine ajaribu kuja na sera mpya coz toka aingie hakuna zuri hata moja ambalo limefanyika, kuna vitu marekani kasababisha lakini mengine yote ni sera zake mbovu.
 
Kama Marekani angetaka kuzikamata unafikiri angeshindwa?
😃anaanzia wapi.. wakati annajua kuwa drone yake ilishawahi kudunguliwa kambi yake Iraq ilichezea kichapo meli ya mshirika mwenzie wa NATO ilitekwa. ..so anajua kuwa kama angeziteka hizo meli lazima kingemkuta kilichomtoa kanga manyoya😃😃
 
Aliyesema hizo pesa hazionekani ni prof Assad, sasa tuambie wa kumwamini ni yupi, aliyefanya ukaguzi au anayekoment hapa jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja USA amalize kuikabiri covid then aanze kufikiria adhabu kwa Iran.

But Kumbuka pia USA kupambana na Iran ni sawa na kupambana na kichaa au nyati aliejeruhiwa,kwaio inahitajika umakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi siwezi kushindana na watu wenye akili ndogo kama wewem unakataa sababu unajua I read your mind. Iran angesikiliza kila analotaka US isingewekewa vikwazo na kwako hapo ndio ungesema viongozi wa iran wana akili sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Marekani angetaka kuzikamata unafikiri angeshindwa?
Hata UK alipotaka kuzikamata alizikamata ila majibu yake sasa ndio yanayo waogopesha[emoji23][emoji23]

Maana IRAN hua hatabiriki majibu yake.....

Sent using My COVID-19
 
Ndio Ana anza kumtegemea hivi Ulishawahisikia VENEZUELA anaagiza Wese Kutoka Nje sasa hem jiulize[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Another stupid monkey. Blocked.
Kitu hamjakijua ukijibu kwa matusi nakujibu matusi. Ukijibu kutaka kuargue vizuri na mimi nita-argue hivyo hivyo. So step aside stupid monkey, sina muda wa kuongea na wewe. Blocked
Aaaah kama hujantukana tusi jipya sidhanii kama umenitukana tafuta tusijipya ama neno chafu jengine jipya ndio unaweza ukanikasirisha pengine

Ulipotukanwa wap ?!

Mbna povu DOGO/KAKA

Sent using My COVID-19
 
Ndio Ana anza kumtegemea hivi Ulishawahisikia VENEZUELA anaagiza Wese Kutoka Nje sasa hem jiulize[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using My COVID-19
Kwenye kuzama baharini unasaidiwa na yeyote, ana mafuta mengi lakin anaagiza, fikiria hapo, na pia fikiria US ameondoa vikwazo kwa Venezuela, bila shaka umepata jibu.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
VIP bilion 8 zilizo liwa na Dj mamy baby [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi inaweza kupelekeshwa na kanchi kaIran, na hakuna nchi inaitegemea Iran kwa chochote, yaani hata TZ inaweza kupelekesha nchi sababu Kuna nchi zinaitegemea TZ.
Iran inaipelekesha US na washirika wake ambapo US na wenzie wanaipelekesha dunia.
Kwa hio Iran inaipelekesha dunia.

Iran middle East ndio baba lao,anasaidia wanyonge.
Iran imeanza kuekewa vikwazo wewe hujazaliwa, badala ya kudidimia wanapanda.
 
Iran inaipelekesha US na washirika wake ambapo US na wenzie wanaipelekesha dunia.
Kwa hio Iran inaipelekesha dunia.

Iran middle East ndio baba lao,anasaidia wanyonge.
Iran imeanza kuekewa vikwazo wewe hujazaliwa, badala ya kudidimia wanapanda.
Sisi Tanzania ni Donor country [emoji23][emoji23][emoji23]

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
USA awaache wana Venezuela.
Hizi hizi figisu walimfanyia mzee wetu Gaddafi, wakamzalilisha, wakamuua mbele yetu, wakamwacha mwili ukaharibika
Wananchi wakafa, Tripoli ikabaki kuwa kama ghost city.

Wananchi wakaanza vita vya wao kwa wao.
Wananchi wakaanza kula nyasi, wengine wakapanda boti kuikimbia nchi na wakafia majini.
Baada ya hapo wakaondoka na kuiacha Libya kwenye dhiki kuu ambapo haijawahi tokea.

Ile Libya mafuta walikuwa wananunua sawa na bure ikawa hata mkate kupata ni shida.

USA aiache Venezuela ita solve yenyewe.
Iran ipo sawa kabisa.
USA haionagi nchi ina mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…