ArtificialIntelligence
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 377
- 734
Another stupid monkey. Blocked.ndio upeo wako wakufikiria kukoment nakuandika ndio ulipomaliza hapa MKUU inasikitisha sana Asee kama kunawatu mnamawazo yakitumwa bado kama haya
Tunayaheshimu mawazo maoni namichango yako ila pole sana kwamawazo yasiokua yanaangalia hali halisi yamambo yanavyoenda ulimwenguni
US niwauaji kabisa na kitendo cha IRAN kupeleka MELI zaidi yatano VENEZUELA sio kumsapoti RAIS sababu kipindi hiki ambacho VENEZUELA inapitia halingumu Bado MADURO nawatu wake hawateseki ila wanaoteseka niraia wakawaida Ambao Mkombozi wawanyonge IRAN kajitolea Kuwapiga tafu RAIA wa VENEZUELA wanaoteseka nahila za US wauaji
VENEZUELA watakipita kipindi hiki kigumu kinachowakabili kwasasa nandio watakuja kua tishio kabisa kwamaslahi ya US nandio watawapa akili watawala wengine wa AMERKA YAKASKAZINI yakwamba wanaweza kuishi bila yakupelekeshwa na US
US anajichimbia kaburi lake mwenyewe nisuala lawakati tu namuda.
Sent using My COVID-19
Kitu hamjakijua ukijibu kwa matusi nakujibu matusi. Ukijibu kutaka kuargue vizuri na mimi nita-argue hivyo hivyo. So step aside stupid monkey, sina muda wa kuongea na wewe. Blocked