Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Unadanganya hadi kuhusu ulichoandika mwenyewe ili tu upigie propaganda wairan![emoji134][emoji134] Hakuna sehemu uliyosema hivyo acha uongo.Hapo ulipo reply [emoji4]
Sent using My COVID-19
Hapana,Venezuela Ana reserve kubwa ya mafuta duniani,inaweza ikawa nchi ya tatu au nne,baada ya Saud,marekani,Russia,Iran,Kinachoendelea sijakielewa, kwani nijuavyo Venezuela ni wazalishaji wakubwa wa mafuta, wanazalisha mafuta zaidi ya mapipa million moja kqa siku.
Hayawatoshi au kunani?
IRAN hhatishwi nakelele zachura [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Unadanganya hadi kuhusu ulichoandika mwenyewe ili tu upigie propaganda wairan![emoji134][emoji134] Hakuna sehemu uliyosema hivyo acha uongo.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Yes,Ana reserve kubwa,,tatizo mmojawapo,mafuta ya Venezuela Ni gharama kuyachimba yanahitaji a lot of refining na speacial chemicals hutumika na hivyo kufanya production cost kuwa high,Mbona huyo Venezuela unayemzungumzia ndio nchi yenye reserve kubwa kabisa ya mafuta duniani inakuwaje Iran kumuuzia Venezuela mafuta . Thinks twice
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari ilipoko huko ni nini mpaka useme wamejitoa kweli kweli?Mh,,niliijua hili sakata nafuatilia Mimi tu,,,ukweli Ni kuwa Iran walijitoa hasa maana kuachia tanker tano ,Tena zimejaa mzigo kwenda eneo hatarishi,kunataka kujitoa kwelikweli.
PAPER TIGER Angechapwa mpaka akome US ukimkazia kwamaana kweli kweli anakua mdooogo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hii haikuwa biashara ya kawaida, watu walikuwa wamekusudia vita kimya kimya.
View attachment 1459317
View attachment 1459318
Hatari nikwamba wanavikwazo kutoka US ambavyo vinawafanya wasiruhusiwe kuendesha biashara yao yamafuta kwauhuruHatari ilipoko huko ni nini mpaka useme wamejitoa kweli kweli?
Kuna maharamia?
Wewe wasema.
Apambane afikie angalau robo ya uchumi wa US ndo tutaanza kumfikiria fikiria.IRAN hhatishwi nakelele zachura [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using My COVID-19
Manowari za marekani zilikuwa ziko katika process ya kui blockade Venezuela,,na Kama hizo tanker zingekamatwa na marekani kulikuwa hakuna uwezekano wa kuzuia zaidi ya kusubilia nao wakamate tanker za US,,ambazo hata hivyo sikuhizi hazichukui Sana mafuta ya mashariki ya Kati,baada ya US kuwa mzalishaji mkubwa wa mafuta piaHatari ilipoko huko ni nini mpaka useme wamejitoa kweli kweli?
Kuna maharamia?
Kinachofanyika Venezuela kinaonyesha wazi jinsi gani watu ni wakatili.
US inahisi inamkomoa rais wa venezuela ila yeye ataendelea kuishi kwenye mansion zake anakula bata wanaoumia na hizi sanctions ni wananchi wa kawaida. Rais wa venezuela ana vijitabia vinaendana na jiwe, Iran nao kuingilia kati hawasaidii wananchi, yote wanazidi kumsupport rais kilaza ambaye nchi imemshinda amebaki kutumia nguvu kwenye kila kitu.
Hali ya Venezuela ni mbaya mno, na asilimia kubwa imesababishwa na kichwa kimoja tu kinachojifanya kinajua kila kitu. Such a waste
Sasa bila kujali kama mzigo umefika au haujafika, hivi kati ya anayeweka vikwazo na anayewekewa vikwazo, ni nani mwenye ubabe kwa mwenzake? 😛
Sasa makampuni kuondoka nchini kwao ndo kuwakandamiza raia??kwani lazima makampuni ya magharibi yawepo kuwachimbia mafuta yao??kama iran ni muungwana asipeleke mafuta bali apeleke makampuni ya kuchimba mafuta..
Iran hafanyi msaada anafanya biashara
Dont get it twisted
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apambane afikie angalau robo ya uchumi wa US ndo tutaanza kumfikiria fikiria.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Natamani wakuelewe MKUUMkuu paragraph ya mwanzo kusema marekani haimkomoi rais inawaumiza wavenezuela, mie niko nawe mawazo yetu yamefanana.
Lakini unaposema rais wa venezuela(maduro) nchi imemshinda, umetumia kipimo gani mzee mwenzangu?
Na msaada wa iran kutuma mafuta venezuela ni msaada kwa wananchi wanaoteseka huko kukosa mafuta na si bwana maduro.!?
Akikujibu unitagHivi nyumbani kwako mwanao ukimwambia hakuna kurudi zaidi ya saa mbili usiku, nae akarudi saa 5 za usiku nani anakuwa mbabe wa mwenzake.
Hakuna kula humu ndani ye anaenda kufungua friji anavuta msosi ulioleta mchana
Inafikirisha kidogo[emoji848]
Yah VENEZUELA walikua wanahitajia msaada waharaka mno ili uwasogeze sogeze kwanza na baada wata angalia maarifa mengine.....Nahisi huu ni msaada wa haraka,
Hata mimi naona ni vyema wapeleke wataalam ama telnolojia yao ya uchimbaji.
Hao uliowataja ndo level zake. Iran haifiki hata robo ya uchumi wa California.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mumfikirie mara ngapi ngapi labda [emoji16][emoji16]
Ana uchumi kama wa kismayo na mogadishu na anawanyoosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using My COVID-19
Magoli yamehamishwa kwenda kwenye uchumi😅😅😅😅😅😅Hao uliowataja ndo level zake. Iran haifiki hata robo ya uchumi wa California.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM