Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Hapo ulipo reply [emoji4]

Sent using My COVID-19
[emoji3][emoji3]Unadanganya hadi kuhusu ulichoandika mwenyewe ili tu upigie propaganda wairan![emoji134][emoji134] Hakuna sehemu uliyosema hivyo acha uongo.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Kinachoendelea sijakielewa, kwani nijuavyo Venezuela ni wazalishaji wakubwa wa mafuta, wanazalisha mafuta zaidi ya mapipa million moja kqa siku.
Hayawatoshi au kunani?
Hapana,Venezuela Ana reserve kubwa ya mafuta duniani,inaweza ikawa nchi ya tatu au nne,baada ya Saud,marekani,Russia,Iran,
Tatizo,marekani kaua infrastructure ya mafuta Venezuela,,viwanda vya kusafisha mafuta vingi viliripuliwa kwa hujuma, spare kupata toka US ikawa ngumu kwani Venezuela alikuwa anauza mafuta marekani,wamarekani wakazuia,biashara ikafa,wale wataalamu wakakimbia(brain drain).
Ndo maana karibuni Venezuela wameipa Iran,tenda ya kufufua infrastructure za mafuta,kwa maana ya Refinery,kwakuwa uzalishaji ulisimama hivyo Venezuela akajikuta Hana kabisa mafuta,ndo wakaiomba Iran iokoe jahazi,maana hakuna nchi ingine ingethubutu kuipelekea mafuta Venezuela wakati marekani kapiga marufuku na kapeleka manowari za kivita karibu na Venezuela ili kuilockdown
 
[emoji3][emoji3]Unadanganya hadi kuhusu ulichoandika mwenyewe ili tu upigie propaganda wairan![emoji134][emoji134] Hakuna sehemu uliyosema hivyo acha uongo.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
IRAN hhatishwi nakelele zachura [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
Mbona huyo Venezuela unayemzungumzia ndio nchi yenye reserve kubwa kabisa ya mafuta duniani inakuwaje Iran kumuuzia Venezuela mafuta . Thinks twice

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes,Ana reserve kubwa,,tatizo mmojawapo,mafuta ya Venezuela Ni gharama kuyachimba yanahitaji a lot of refining na speacial chemicals hutumika na hivyo kufanya production cost kuwa high,
Then Bei ya mafuta ikafa,Ni sawa na bidhaa uzalishaji kwa shilingi 100 halafu Bei ife mpaka shilingi 20,
Lazima usande tu,,so refinery zinafail,zingine Kama ulisikia hujuma za mwaka Jana za milipuko,kwahiyo Venezuela wanaweza kuchimba mafuta ghafi,then kurefine inakuwa un enconomical,so industry ya mafuta Venezuela ikafikia standstill,,maana Richa ya Bei kufa,ikaibuka ishu ya spare,,kumbuka CIA nao walikuwa busy kuharibu miundombinu ya mafuta
 
Aisee hii haikuwa biashara ya kawaida, watu walikuwa wamekusudia vita kimya kimya.

Screenshot_2020-05-25-14-32-54-1.png

Screenshot_2020-05-25-14-32-32-1.png
 
Mh,,niliijua hili sakata nafuatilia Mimi tu,,,ukweli Ni kuwa Iran walijitoa hasa maana kuachia tanker tano ,Tena zimejaa mzigo kwenda eneo hatarishi,kunataka kujitoa kwelikweli.
Hatari ilipoko huko ni nini mpaka useme wamejitoa kweli kweli?

Kuna maharamia?
 
Hatari ilipoko huko ni nini mpaka useme wamejitoa kweli kweli?

Kuna maharamia?
Hatari nikwamba wanavikwazo kutoka US ambavyo vinawafanya wasiruhusiwe kuendesha biashara yao yamafuta kwauhuru

Sent using My COVID-19
 
IRAN hhatishwi nakelele zachura [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
Apambane afikie angalau robo ya uchumi wa US ndo tutaanza kumfikiria fikiria.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Hatari ilipoko huko ni nini mpaka useme wamejitoa kweli kweli?

Kuna maharamia?
Manowari za marekani zilikuwa ziko katika process ya kui blockade Venezuela,,na Kama hizo tanker zingekamatwa na marekani kulikuwa hakuna uwezekano wa kuzuia zaidi ya kusubilia nao wakamate tanker za US,,ambazo hata hivyo sikuhizi hazichukui Sana mafuta ya mashariki ya Kati,baada ya US kuwa mzalishaji mkubwa wa mafuta pia
 
Kinachofanyika Venezuela kinaonyesha wazi jinsi gani watu ni wakatili.
US inahisi inamkomoa rais wa venezuela ila yeye ataendelea kuishi kwenye mansion zake anakula bata wanaoumia na hizi sanctions ni wananchi wa kawaida. Rais wa venezuela ana vijitabia vinaendana na jiwe, Iran nao kuingilia kati hawasaidii wananchi, yote wanazidi kumsupport rais kilaza ambaye nchi imemshinda amebaki kutumia nguvu kwenye kila kitu.

Hali ya Venezuela ni mbaya mno, na asilimia kubwa imesababishwa na kichwa kimoja tu kinachojifanya kinajua kila kitu. Such a waste

Mkuu paragraph ya mwanzo kusema marekani haimkomoi rais inawaumiza wavenezuela, mie niko nawe mawazo yetu yamefanana.

Lakini unaposema rais wa venezuela(maduro) nchi imemshinda, umetumia kipimo gani mzee mwenzangu?

Na msaada wa iran kutuma mafuta venezuela ni msaada kwa wananchi wanaoteseka huko kukosa mafuta na si bwana maduro.!?
 
Sasa bila kujali kama mzigo umefika au haujafika, hivi kati ya anayeweka vikwazo na anayewekewa vikwazo, ni nani mwenye ubabe kwa mwenzake? 😛

Hivi nyumbani kwako mwanao ukimwambia hakuna kurudi zaidi ya saa mbili usiku, nae akarudi saa 5 za usiku nani anakuwa mbabe wa mwenzake.

Hakuna kula humu ndani ye anaenda kufungua friji anavuta msosi ulioleta mchana

Inafikirisha kidogo[emoji848]
 
Sasa makampuni kuondoka nchini kwao ndo kuwakandamiza raia??kwani lazima makampuni ya magharibi yawepo kuwachimbia mafuta yao??kama iran ni muungwana asipeleke mafuta bali apeleke makampuni ya kuchimba mafuta..
Iran hafanyi msaada anafanya biashara
Dont get it twisted

Nahisi huu ni msaada wa haraka,

Hata mimi naona ni vyema wapeleke wataalam ama telnolojia yao ya uchimbaji.
 
Apambane afikie angalau robo ya uchumi wa US ndo tutaanza kumfikiria fikiria.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mumfikirie mara ngapi ngapi labda [emoji16][emoji16]

Ana uchumi kama wa kismayo na mogadishu na anawanyoosha[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
Mkuu paragraph ya mwanzo kusema marekani haimkomoi rais inawaumiza wavenezuela, mie niko nawe mawazo yetu yamefanana.

Lakini unaposema rais wa venezuela(maduro) nchi imemshinda, umetumia kipimo gani mzee mwenzangu?

Na msaada wa iran kutuma mafuta venezuela ni msaada kwa wananchi wanaoteseka huko kukosa mafuta na si bwana maduro.!?
Natamani wakuelewe MKUU
Hivi nyumbani kwako mwanao ukimwambia hakuna kurudi zaidi ya saa mbili usiku, nae akarudi saa 5 za usiku nani anakuwa mbabe wa mwenzake.

Hakuna kula humu ndani ye anaenda kufungua friji anavuta msosi ulioleta mchana

Inafikirisha kidogo[emoji848]
Akikujibu unitag
Nahisi huu ni msaada wa haraka,

Hata mimi naona ni vyema wapeleke wataalam ama telnolojia yao ya uchimbaji.
Yah VENEZUELA walikua wanahitajia msaada waharaka mno ili uwasogeze sogeze kwanza na baada wata angalia maarifa mengine.....

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mumfikirie mara ngapi ngapi labda [emoji16][emoji16]

Ana uchumi kama wa kismayo na mogadishu na anawanyoosha[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
Hao uliowataja ndo level zake. Iran haifiki hata robo ya uchumi wa California.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Back
Top Bottom