HahahahahahhaaHehehehe hakunji chapati huyooo mtu
[emoji121]Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele
uhuuuuuuuuuuuu
View attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23]
halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita
View attachment 393710
Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele
uhuuuuuuuuuuuu
View attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23]
halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita
View attachment 393710
Ehheheheh mtukufu raisi yupo kwaajili ya wanyongeemleta mada umetisha,
yaani hii ndo umeona utusogezee, wakati mama zetu kule morogoro nyanya zinaozea barabarani,. si ungeipigia serikali kelele kwa kuweka post afadhali huruma iwepo
Mwanaume gani kifua hata hakina nywele? Wa daslan nini huyu? [emoji12]Kafanana sana na mimi sema yeye tu ana kifua
Kwani mwanaume anatambulika kwa kua na nywele kifuani tu amaMwanaume gani kifua hata hakina nywele? Wa daslan nini huyu? [emoji12]
Ulikuwa na akili finyu...au hukufikiria.Ndio mwenzangu
Huyu mwanamke nilianza kumpenda tangu sijabalehe mpaka sasa. Monalisa napenda zaidi rangi yake na namna anavyoongeaga na kale kamdomo kake kazuriiiMe I have a crush on this lady cjui ana miaka mingap nampenda tangu anaigiza ITV yani naona hazeeki Monalisa my Crush [emoji16] [emoji8] [emoji8] View attachment 393940
Mi namfananisha na akina Brandy na J.lo,yaani huyu dada hazeeki kabisa.Anaujali sana mwili wake.Hongera sana dada Monalisa!Me I have a crush on this lady cjui ana miaka mingap nampenda tangu anaigiza ITV yani naona hazeeki Monalisa my Crush [emoji16] [emoji8] [emoji8] View attachment 393940
Hahahaaa utamuua mwenzio
Mungu fundi
Yeah sure, huyu kila kundi yupo kwa wazuri na wenye mvuto , Anavutia Sana ila kimziki naona yupo kimya halafu huwez amin Kama anaimba mziki mgumu sasa[emoji7] [emoji7]Haahahahahahaa naona umeamua kufunguka huyu kweli ni mzuri na ana mvuto!huyu ana vyote cc me and I @
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lakini kidgo nilie ulivyosema diamond ana mdomo kama chapati [emoji22][emoji22][emoji22]na anavyojitahdi kuu sexisha jamaniiii [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Chuki hizoooNaskia ni punga[emoji125][emoji125][emoji125] (naskia)