Shikamoo kilimo

Anzia tu hapo mkindo Morogoro, achilia mbali mabonde kibao yaliyojaa Tanzania, kuna sehemu ndani ya hii nchi maji hayakauki...
Mkindo ni wilaya gani Kwa moro? Na vp bei ya kukodi hiyo heka?
 
Puliz Picha broo tupo zama za livee
 
Huyu si mkulima huyu ni like yule mada wa iringa mlima vitunguu saiv yupo segee
 
Yes. Niliwekeza 10m kwa kulima eka 30.
Ingeenda poa ningevuna na kupata wastani wa 1m kwa eka.
Hiyo si pdf, ni real figure niliishuhudia misimu miwili iliyopita.
Means total ningevuna 30m ndani ya miezi sita.
Usijari, mwakani utapata hiyo utakayo.
 
Pole kaka, kilimo ninachokiamini ni Cha kumwagilia tu..Huwezi niambia nilime kwa kutegemea mvua..never..
Pole sana brother.
 
Natokaga nje usiku wa manane kukagua anga kama mawingu yametanda. Sikia tu ila usiombe ya kukute.
Pole sana Mkuu, Yani kilimo cha bongo ni Gusa achia ukiona wezako wamepata msimu huu weww ukilima msimu unao fuatia imekula kwako
 
Pole sana Mkuu, Yani kilimo cha bongo ni Gusa achia ukiona wezako wamepata msimu huu weww ukilima msimu unao fuatia imekula kwako
Hii kitu ndio iliyonitokea.
Msimu uliopita mvua zilinyesha kwelikweli na watu walivuna kwelikweli.
Nami niliingia tamaa msimu huu nilijidhatiti nikawekeza pesa mpaka ikatimia hiyo. Kumbe ndio naenda kuizika!
 
Hii kitu ndio iliyonitokea.
Msimu uliopita mvua zilinyesha kwelikweli na watu walivuna kwelikweli.
Nami niliingia tamaa msimu huu nilijidhatiti nikawekeza pesa mpaka ikatimia hiyo. Kumbe ndio naenda kuizika!
Daah pole Kaka tuombe uzima Mapambano bado yanaendelea
 
Kwamba ningeanza na pesa kidogo mvua ndio ingenyesha? Stupid.
In any business it is better to sfart small,that gives you an opportunity to get familiar with challenges and other setbacks before deciding for further expansion
 
Ni vizuri kuzingatia utabiri wa Hali ya Hewa!
Lakini usijali jiandae na msimu unaokuja.
 

Nenda tararibu kwenye Miradi au biashara mpya, 10 m ni nyingi sana
 
TMA ilishakupa majibu usisikitike Wala kukata tamaa
 
Gharama za kuchimba kisima zipoje?
 
Pole sana ndugu changamoto zipo na zimekuja kwaajili yakutuongezea uimara na kujifunza zaidi, nakuomba sana usikate tamaa kabisa, kaa chini angalia wapi ulijikwaa basi ukimtumainia Mungu na kuongeza juhudi na maarifa utafikia malengo. Mungu akubariki sana.
Naomba kujua ulichimba kisima cha maji.?
Tulia kwanza na uchanganyue mradi wako upya utaanza na nguvu mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…