Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 395
- 1,195
Niliwai lima Kitunguu Maji Singida DC 2022 yani mvua ilikata kipindi ambapo kitunguu kinataka maji aisee nilikuwa nikilala nikisikia mchanga umegusa bati najua mvua 🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkindo ni wilaya gani Kwa moro? Na vp bei ya kukodi hiyo heka?Anzia tu hapo mkindo Morogoro, achilia mbali mabonde kibao yaliyojaa Tanzania, kuna sehemu ndani ya hii nchi maji hayakauki...
Puliz Picha broo tupo zama za liveeNilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.Mvua za vuli kua chini ya wastani
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...www.jamiiforums.com
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Natokaga nje usiku wa manane kukagua anga kama mawingu yametanda. Sikia tu ila usiombe ya kukute.Niliwai lima Kitunguu Maji Singida DC 2022 yani mvua ilikata kipindi ambapo kitunguu kinataka maji aisee nilikuwa nikilala nikisikia mchanga umegusa bati najua mvua 🤣🤣🤣🤣
Wakamalia mnajulikana tu kwenye story yoyote lazima neno beti liwepo hata mkiwa ukweni unapiga story na mama mkwe utalazimisha mpaka uchomekee neno betiYani wewe ulienda kubet wakat kwa hio hela ulikua na uwezo wa kufanya kilimo cha uhakika
Huyu si mkulima huyu ni like yule mada wa iringa mlima vitunguu saiv yupo segeeKuna ule uzi ulileta mwanzo, wadau wakakuuliza umelima wapi ? Ni zao gani unapanga kulima? Ili ushauriwe humu ndani kuna wazoefu wa kila nyanja,,,, ukakaza fuvu hata hukujibu,,,, kula chuma hicho, next time toa taarifa inayoeleweka ili watu wajue pa kukushauri !
Usijari, mwakani utapata hiyo utakayo.Yes. Niliwekeza 10m kwa kulima eka 30.
Ingeenda poa ningevuna na kupata wastani wa 1m kwa eka.
Hiyo si pdf, ni real figure niliishuhudia misimu miwili iliyopita.
Means total ningevuna 30m ndani ya miezi sita.
Pole sana Mkuu, Yani kilimo cha bongo ni Gusa achia ukiona wezako wamepata msimu huu weww ukilima msimu unao fuatia imekula kwakoNatokaga nje usiku wa manane kukagua anga kama mawingu yametanda. Sikia tu ila usiombe ya kukute.
Mbona huyu inaelekea siyo mkulima ila anatumia hela yake kuajiri wakulima.jembe halimtupi mkulima
Hii kitu ndio iliyonitokea.Pole sana Mkuu, Yani kilimo cha bongo ni Gusa achia ukiona wezako wamepata msimu huu weww ukilima msimu unao fuatia imekula kwako
Daah pole Kaka tuombe uzima Mapambano bado yanaendeleaHii kitu ndio iliyonitokea.
Msimu uliopita mvua zilinyesha kwelikweli na watu walivuna kwelikweli.
Nami niliingia tamaa msimu huu nilijidhatiti nikawekeza pesa mpaka ikatimia hiyo. Kumbe ndio naenda kuizika!
In any business it is better to sfart small,that gives you an opportunity to get familiar with challenges and other setbacks before deciding for further expansionKwamba ningeanza na pesa kidogo mvua ndio ingenyesha? Stupid.
Hasa kilimo Cha mvua ni Kama ushirikina tuPole mkuu. Kila Biashara ina changamoto zake na kila biashara huwa na faida ukisimuliwa
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.Mvua za vuli kua chini ya wastani
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...www.jamiiforums.com
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
TMA ilishakupa majibu usisikitike Wala kukata tamaaNilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.

Gharama za kuchimba kisima zipoje?Kwa hiyo hela hapo alitakiwa alime hekari zisizozid tano achimbe kisima, anunue pump na pipe za kusupply maji, kwa kua eneo ni virgin land hukukua sana na ulazima wa mbolea na madawa mengine baada ya hapo kila mwaka angekua anaongeza eneo kulingana na faida anayopata. Asingerud hapa kulia lia
Pole sana ndugu changamoto zipo na zimekuja kwaajili yakutuongezea uimara na kujifunza zaidi, nakuomba sana usikate tamaa kabisa, kaa chini angalia wapi ulijikwaa basi ukimtumainia Mungu na kuongeza juhudi na maarifa utafikia malengo. Mungu akubariki sana.Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.