Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shikamoo bichwa komwe
Shikamoo Ushimen
 
Hii salamu siipendi kusalimiwa kwa wote wanaostahili kunisalimia.

Mimi kwa wazee nawasalimia na wala sioni shida[emoji2][emoji2][emoji2], hasa wazee wa Vijijini
 
Uzee mwisho chalinze kuanzia kibaha Hadi posta wote ni vijana.ukisalimia shikamoo hatukuitikii hata kama tunakuzidi miaka 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…