Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

Wizo leo mie mbaba tena jamanii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaa kweli mmenichoka jamaniii [emoji81][emoji81]

Wizo wewe ni wa kuniita mimi mbaba kweliiiiiiiiiii wizooooooooooooo uwiiiiih [emoji33][emoji33][emoji33]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani?

Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo.

Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati?

Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe na vitoto vya chekechea.

Dume zima na mandevu ati shkamoo? Kivipi?

Namuagiza samia aifute hii salamu ya shkamoo mara moja katika mipaka yote ya Tanganyika. Salamu ya fedheha sana hii.

Awaelekeze Bakita watunge salamu nyingine itakayoenzi utu wa watu badala ya kusujudiana kwa mashkamoo ya hovyo hovyo.
Shikamoo bichwa komwe
Shikamoo Ushimen
 
Hii salamu siipendi kusalimiwa kwa wote wanaostahili kunisalimia.

Mimi kwa wazee nawasalimia na wala sioni shida[emoji2][emoji2][emoji2], hasa wazee wa Vijijini
 
Uzee mwisho chalinze kuanzia kibaha Hadi posta wote ni vijana.ukisalimia shikamoo hatukuitikii hata kama tunakuzidi miaka 50
 
Back
Top Bottom