domolachewa DLC
Member
- Jun 30, 2023
- 5
- 3
Ujikute we kwenu ndo last born hyo shkamoo utaitoa mpaka ukome mpaka kwa mashemeji af watoto wadogo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamu imekaa kimtego sana kwa watu wazima aisee.Mtoto wa miaka kumi akikusalimia 'habari yako'' au akasema 'hello'ni sahihi?
Mimi naona kama ni dharau
Achaana na shikamoo bas mrembo
Mimi niiko 27[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha ufataki
Mimi niiko 27
Mbona unafia kwenye korido[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bas niamkie mimi nakuzaa huku napiga deki
Me nimeacha kitambo sana kuamkia watu zaidi ya Wazee wangu Kijijini tuItanibidi nifanye hivyo pia maana huku town michoro
Ahaha..Kwan kabla haya nje ya "inji" si alikua anafahamiana na hawa watu ndio mana hata amerud bado kawagundua?Sawa
Mbona unafia kwenye korido
Kuna watu zina wachoresha hawazipendiKusalimia inaonekana kama inawapa watu shida sana.
Mimi awe mdogo ama mkubwa akitaka shikamoo nampa kwa sababu hainipunguzii wala kuniondolea chochote.
Kwenye jamii ama kabila letu, mkubwa anaweza kuanza kumsalimia mdogo ama baba akamsalimia mtoto ama mama akamsalimia mtoto na ila anaanza na salamu ya kuitikia, mfano, shikamoo inatolewa na mdogo, mkubwa anaitikia marahabaa, sasa kikwetu mkubwa anaweza kuanza na marahabaa wewe ukamalizia shikamoo.
So sisi hatuna ulazima nani aanze, ila salamu lazima ipo.
Mtu kumpa shikamoo inakuuma nini? Polepole alisema, mpe shikamoo hata 9 kwa siku anaezitaka.