Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Maana yake uchumi wa kenya una panda wetu unashuka viongozi wamekali wizi tuu kuficha mabilon nje ya nchi hadi dola nchin zinapoteaNdugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya Kenya inabadilishwa kwa Tshs.19.82. Kulikoni?. BOT mko wapi?.
Uchumi haupo hivyo kijana wangu. Ukiangalia Exchange rate anagalia pia na Inflation rate.Kweli tunao vilaza wa kutupwa hapa nchini. Hebu ndugu zangu fanyeni hii hesabu,,,
Dola moja hivi sasa ni Ksh 129.50 kutoka 162..75 mwezi wa Januari mwaka huu. Hii ina maana shilingi ya Kenya imezidi kuimarika katika kipindi hicho.
Hiyo hiyo dola moja kwa sasa ni Tsh 2,575.00 kutoka 2,510.00 mwezi wa Janauari mwaka huu ikiwa na maana shilingi yetu inazidi kuporomoka.
Jamani tuache unafiki, tuna hali mbaya. Eti kuna wakati pesa hizi zilikuwa na thamani sawa...kwa kweli CCM inaiangamiza taifa hili.
Uchumi haupandishwi na exchange rate. Mwalimu wako wa uchumi ni nani?Maana yake uchumi wa kenya una panda wetu unashuka viongozi wamekali wizi tuu kuficha mabilon nje ya nchi hadi dola nchin zinapotea
Lazima ihusiane kwa sababu ubora wa uchumi wako ni pamoja na thaman ya pesa yako dhidi ya pesa za wengine ndio maana nchi zote zenye uchumi mzuri na pesa yao ki thaman ipo juuu kama hujaelewa ingia chimboSasa exchange rate inahusianaje na uchumi wa nchi?
As long as wote ni makapukuNdugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya Kenya inabadilishwa kwa Tshs.19.82. Kulikoni?. BOT mko wapi?.
Kwa elimu ya uchumi wa mwigulu upo sahihiUchumi haupandishwi na exchange rate. Mwalimu wako wa uchumi ni nani?
Ukiona kiongozi anatoa kauli za kipuuzi kama hizo ujue ubongo wake haujiwezi na hajui dhamana yake kiuongozi.Hamia Malawi, alisikikika Waziri mmoja akisema
Kati ya Japan na Kenya ni nchi ipi yenye uchumi mkubwa?Lazima ihusiane kwa sababu ubora wa uchumi wako ni pamoja na thaman ya pesa yako dhidi ya pesa za wengine ndio maana nchi zote zenye uchumi mzuri na pesa yao ki thaman ipo juuu kama hujaelewa ingia chimbo
Grade A ya uchumi ambaye hajawahi kutoka nje ya nchi na kufanya kazi kwenye taasisi yoyote credible, Bali katoka Singinda hapo akawa mwanasiasa, kisha akawa Dr. Akiwa na cheo Cha kisiasa hapa chuo Cha UDSM, ambacho wahadhiri wake ukiwa na madaraka wanakuuliza wakupe ufaulu wa kiwango gani!Hatuna tatizo tuna Grade A ya Uchumi kule juu!!! Ha ha haaa!!! Hutaki??? Mbona unaguna Sasa !!!
πππStress nyingine za kujitakia, kama hilo limekuudhi usiende Kenya, usinunue bidhaa kutoka Kenya, achana na lolote la Kenya kwa muda hadi shilingi ikae sawa against ksh.
Ni kweli mkuu..Hapa umetudanganya sana mkuu.
Huwezi mtumia huyo ipasavyo kama akili yako ni ndogo kuliko yeye. Utaishia kupata majibu ya uongo tu.Naona bwana kichongeochuma nimemuuliza swali dogo #32 naona kaishia mitini.
Vipi bado unatafuta nondo? Kwenye ChatGPT?
Masikini Venus Star...kweli JF imekuwa kokoro. Zamani JF haikuwa hivi...bado nakumbuka siku Makamba alipomwaga viwavi humu baada ya kuyanunulia simu janja makapi yaliyototolewa kwenye mikesha ya mwenge kama wewe!Uchumi sio wa kila mtu.
Economics is the study of scarcity and its implications for the use of resources, production of goods and services, growth of production and welfare over time, and a great variety of other complex issues of vital concern to society.