Shillingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya

Mashuzi unazalisha wewe hapo baada ya kushiba Leo.

aLhamduliLlah kila siku nashiba na mashuzi kama kawa.

Wewe unazalisha nini zaidi ya mashuzi ya maharage au dagaa, tena ya njaa.

Shuzi la biriani ya Eid utafananisha na mashuzi ya hewa na ugali kwa dagaa?
 
aLhamduliLlah kila siku nashiba na mashuzi kama kawa.

Wewe unazalisha nini zaidi ya mashuzi ya maharage au dagaa, tena ya njaa.

Shuzi la biriani ya Eid utafananisha na mashuzi ya hewa na ugali kwa dagaa?
Biriani!? Naamini utakunya KeKi.
 
Mkuu, mie ni mdau...naelewa nnachokiongea.
We kula kiyoyozi tu ofcn Samia atalipia bili usiwaze!.
 
Makaa ya mawe kutoka Mkako, yanasafirishwa balaa, ila cha ajabu Songea enyewe inadidimia kila iitwapo leo.
Inasikitishaa mnoo.
 
Mkuu, mie ni mdau...naelewa nnachokiongea.
We kula kiyoyozi tu ofcn Samia atalipia bili usiwaze!.
Sasa unataka nani akulipie bill mzee. Pambana. Hakuna kulegea legea. Uchumi unapimwa pia kwa inflation na siyo exchange rate.
 
Ujue nini!? Hii ni kwa sababu Tanzania tuna visima vya mafuta kwa hiyo mafuta yetu TU tunachimba wenyewe. Hii ndiyo sababu.
Nenda kasome uchumi mdogo wangu. Watu wanasoma miaka zaidi ya 3 uswachukulie poa.
Exchange rate ibaki kuwa exchange rate. Price ya vitu itabaki kuwa price.

Ukitaka kuelewa uchumi vizuri. Angalia mwenendo wa China na USA.
China yupo na big PPP kwanini?
 
Kisingizio chepesi sana hili. Ni kama kujaribu kujificha kwenye kivuli cha mchicha.
Unayajua madhara ya vikwazo vya uchumi wewe au unaropoka tu? Nchi ambayo hata kiberiti au stick za meno unaagiza usiombe upigwe economic sanctions utaishi duniani kama jehanamu!! Yaani kabisa bila aibu unadiriki kusema vikwazo vya kiuchumi ni Jambo jepesi?
 
Waache siasa wazalishe na kuuza nje zaidi.waache kuzalisha chawa wazalishe bidhaa tena zenya ubora na ushindani kwenye masoko ya dunia
 
Hapo bado hata Uganda watatupita
 
Hiko sicho nilichoandika.
 
Hayana maana hayo, uchumi wa kenya sio sawa na wa japan lakini angalia thamani za hela zao zilivyopishana
 
Wapo busy kumsifia maza
 
Mingi inayobishana humu hata hizo dollar hawana kazi nazo wala hawajawahi kuziona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…