JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Mi sera TU za kikodi na tozo,. Kwani haya mafuta, serikali ikitaka yapungue bei si wanaondoa TU Yale matozo na kupunguza Kodi yake! Lakini wanaweza!? Wakati huo huo wakizitaka hizo fedha na vyanzo vingine hakuna!?Kwanini wanunue mafuta kwa bei kubwa? Hebu dadavua mwanauchumi mwenzangu.