View attachment 251041
View attachment 251042
View attachment 251043
Huyu mwanamke kaingia ulaya kumemchangaya anafanya show nusu uchi au alijuwa ndio wasanii wanavyoiteka dunia?Ni aibu sijuwi anarudije kwenye aridhi ya nyumbani.
Mi sioni cha ajabu
Kweli hukukosea hiyo ni MINYONYO si chuchu ka wengine walivyosema. Ana haki yake kuyaweka hadharan kwani watu wajipimie wenyewe usinunue mbuzi ndani ya gunia. Ishakwisha niddle hiyo
mtoa mada umempaisha sana shilole, hizo chuchu zipo wapi mbona sozioni, au macho yangu, naona malapa tena yamekua meusi kwa lami
Hata muuza gongo akiona hawaji hupiga mayowe. Hayo ndo mayowe style yake. Akirudi nendeni
Mungu wetu mvumilivu sana, sababu ya Neema ndio maana anatuacha hata pale tufanyapo uasi dhidi yake
Kumbe nyonyo zake hazisimami mpaka apige deki ndio maana anazipiga jeki