Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Kuoa staa mzigo Hasa Kama huna hela
1594218859355.png

Hata hivyo , wanaume tuwe makini.
Kumbinafsisha mutoto wa mujini......uwe na MUKWANJA MUREFU!
Sasa we ni Ngosha, ya mujini cha mujini.
 
Kwani huyo gendaheka hakujua Kama shishi mdangaji!!? Alijua na bado akapeleka pumbu zake pale..Kama aliona shishi habadiliki angemuacha tu kiroho Safi..kumpiga ndiyo kaona ushindi.. ndiyo Kwanza kampatia ticket ya Bibi shishi kudanga kwa Uhuru..umariooo wahitaji subraaa jamani.
Yani unaumiza kichwa chako kabisa na Shishi ... Laiti ungejua hahaha usingethubutu kucomment hilo...
 
Ukiona mwanaume anampiga mwanamke ujue amekasirishwa kiasi ambacho hatamani tena kumwona huyo mwanamke. Mapenzi yanaumiza sana haswa wanaume ndio wanaoumia kupita kiasi kutokana na usaliti.

Sipendi kupiga mwanamke ila sishangai mtu akipiga mwanamke najua maumivu anayopitia na pia ndoa nyingi zinavurugwa na wanawake kuliko wanaume.

Unapooana wanaume wenye ndoa wanakesha baa wanakimbia mengi sana majumbani mwao. Halafu wanawake wanajifanya kama watakatifu sana wakati wengi ni mashetani wanaoishi duniani na kuvuruga sana wanaume
nimekuelewa sana.hata mimi niliishi na mke kwa miaka kumi na sikuwahi kumpiga ingawa alikuwa na mdomo sana na wivu wa kupindukia kiasi kwamba ukirudi nyumbani unanuswa hadi boksa.ilifkia nikawa nachelewa kurudi homu afu niko tusuu ili nikifika nilale tuu.siku hiyo nimefika akanianzia mdomo nikamchimba biti kali naona ananibebea kisu afu akanirushia nilikuwa kifua wazi kananipapasa begani.niliamka kwa asira hiyo kichapo nilitembeza ni mbwa koko na km sio watoto kuamka na kuanza kulia ndo nikahurumia watoto nikamuachia kachakaa uso wote.nikampa first aid vizuri akalala mbona adabu ikawepo.nikasema sijui sk zote nilikuwa wapi kuweka hishma ya kupiga vitasa.leo nimeona hili jambo hapa nikakumbuka huyu shilole wife wana undugu kutokea huko igunga unajua hawa wana ngebe sana sbb wana uchotara flani toleo la mwisho
 
Tayari wazee wa kuchukulia vitu personal mshafika. Wewe unataka kundi langu la damu ili ufanyie mambo gani mwanga mkubwa wewe?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 Haki nimecheka
 
"...SABABU ZA KUPIGWA NI MIGOGORO MIDOGOMIDOGO...MAMBO YANAYOZUNGUMZIKA..."

wanawake wengi watovu wa nidhamu wanaowajibishwa kwa matendo na maneno yao wanaolishwa kipondo hueleza sababu hiyo hapo lakini hautasikia hata siku moja wametaja hiyo migogoro ni ipi.

Sasa basi;

Kwakua sababu zetu mnazidharau na kuziita migogoro midogo inayozungumzika na sisi tutaendelea kuwapa kichapo kidogo kinachovumilika.

Tupo pamoja Uchebe.
 
Back
Top Bottom