Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Na yeye ashughulikiwe maana alishawahi kumu-abuse nuhu mziwandaPole sana Shilole, this is just heartbreaking!
Huyu jamaa ashughulikiwe tu, hakuna namna!
Kuoa staa mzigo Hasa Kama huna hela
DuuhUbabe unasaidia sana... Kama Marekani asingemtandika Sadam Hussein dunia isingekalika.
Nami nasema wapigwe tu
What goes around mkuuWatu wanajisahaulisha ..sikatai kilichofanywa ni wrong ila shilole mwenyewe alikuwa anaifurahia violance na kuonesha kama njia nzuri ya kumtia mtu adabu lakini maisha haya sio kabisaa
Yani unaumiza kichwa chako kabisa na Shishi ... Laiti ungejua hahaha usingethubutu kucomment hilo...Kwani huyo gendaheka hakujua Kama shishi mdangaji!!? Alijua na bado akapeleka pumbu zake pale..Kama aliona shishi habadiliki angemuacha tu kiroho Safi..kumpiga ndiyo kaona ushindi.. ndiyo Kwanza kampatia ticket ya Bibi shishi kudanga kwa Uhuru..umariooo wahitaji subraaa jamani.
Wenzio watakuita mtetezi wa wanawake..shauri yako.Iwe kweli Shilole ana makosa ama laah but jamaa kazingua, kumpiga mtoto wa kike kiasi hicho kama unaua mwizi sio fair kabisa.. Uchebe kazingua sana
Wewe unaemjua comment unavyoona wewe kusikoumiza kichwaYani unaumiza kichwa chako kabisa na Shishi ... Laiti ungejua hahaha usingethubutu kucomment hilo...
nimekuelewa sana.hata mimi niliishi na mke kwa miaka kumi na sikuwahi kumpiga ingawa alikuwa na mdomo sana na wivu wa kupindukia kiasi kwamba ukirudi nyumbani unanuswa hadi boksa.ilifkia nikawa nachelewa kurudi homu afu niko tusuu ili nikifika nilale tuu.siku hiyo nimefika akanianzia mdomo nikamchimba biti kali naona ananibebea kisu afu akanirushia nilikuwa kifua wazi kananipapasa begani.niliamka kwa asira hiyo kichapo nilitembeza ni mbwa koko na km sio watoto kuamka na kuanza kulia ndo nikahurumia watoto nikamuachia kachakaa uso wote.nikampa first aid vizuri akalala mbona adabu ikawepo.nikasema sijui sk zote nilikuwa wapi kuweka hishma ya kupiga vitasa.leo nimeona hili jambo hapa nikakumbuka huyu shilole wife wana undugu kutokea huko igunga unajua hawa wana ngebe sana sbb wana uchotara flani toleo la mwishoUkiona mwanaume anampiga mwanamke ujue amekasirishwa kiasi ambacho hatamani tena kumwona huyo mwanamke. Mapenzi yanaumiza sana haswa wanaume ndio wanaoumia kupita kiasi kutokana na usaliti.
Sipendi kupiga mwanamke ila sishangai mtu akipiga mwanamke najua maumivu anayopitia na pia ndoa nyingi zinavurugwa na wanawake kuliko wanaume.
Unapooana wanaume wenye ndoa wanakesha baa wanakimbia mengi sana majumbani mwao. Halafu wanawake wanajifanya kama watakatifu sana wakati wengi ni mashetani wanaoishi duniani na kuvuruga sana wanaume
Shangaa na wewe.Na bado inakuuma sisi Kuzalishwa na kuachwa..poulee weeh
All of this is happening as a result of what we call the culture of impunity.Na yeye ashughulikiwe maana alishawahi kumu-abuse nuhu mziwanda
πππππ Haki nimechekaTayari wazee wa kuchukulia vitu personal mshafika. Wewe unataka kundi langu la damu ili ufanyie mambo gani mwanga mkubwa wewe?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kuna watu wazima na akili zao hapa wanashangilia sijui wanaona raha gani mtu kuumizwa hivyo.Iwe kweli Shilole ana makosa ama laah but jamaa kazingua, kumpiga mtoto wa kike kiasi hicho kama unaua mwizi sio fair kabisa.. Uchebe kazingua sana
Flavi wa "watasha"???ππVibaya sana ... Nimetoka huko " nimekuta flavian matata kachachamaa
....jungle laws zimewajaa vichwaniπHalafu kuna watu wazima na akili zao hapa wanashangilia sijui wanaona raha gani mtu kuumizwa hivyo.