Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Dogo pambana na life...Muda wa kuoa bado Sana Nina 24 ngojea nitengeneze kwanza maisha ninaweza kuja kuoa labda kuanzia miaka 30+
Kwan unafikiri uchebe ni mariooo kwa shiloleHakuna Cha ushindi wowote..uboya tu.
Hizo nguvu alizotumia kumpiga mkewe angewekeza kichwani apate akili zaidi ya kutafuta pesa.
HahahaNdo akina nani hao shilole sijui uchebe?
Ni mastaa au watu watu tu wa facebook?
Shoga mwenyewe ,, mbona unaleta habari ambazo hazipo,, come on jiheshimu mzee kama unanipinga nipinge kwa hoja sio kuni attack personal, huwezi kunipangia nini cha kuandika since device ni yangu na bundle ni langu kama hijakupendeza kaa kimya sio kujifanya unajua kila kituMwanaume kuandika "umeona eeeeeh" huo ni upuuzi na ni dalili za awali za kuelekea kuwa shoga wa kiwango kikubwa mno.
Sisi wanaume tunakushauri ujirudi acha uzwazwa.
zipo mbonaUmeshindwa kuweka hata picha kweli?
Wanaume hatusalitian.Jiheshimu wewe uheshimiwe, kwa hiyo wewe unaona Shilole alivyopigwa hivyo ni sawa? What if angekua dada yako kaolewa sehemu na kapigwa hivyo ungechukuliaje, acheni roho zenu mbaya .. Aliyekwambia kumpiga mwanamke ndio ushujaa nani??
Huyo huyo ... Ka-mind sana hahahaFlavi wa "watasha"???[emoji23][emoji23]
1 in a million lknKuna wanawake wanaheshimu waume zao ambao hata sio matajiriii..!!
DuuhCriss Brown alimpiga kichapo Cha mbwa Koko Rihana.View attachment 1501011
Kipigo syo solution maana Utakuja ishiaaa jelaWatu mnaongea tu humu...ila kuna mambo wanafanya wanawake kwenye ndoa yanakera sana na bila kipigo muda mngine hawaendi....
Hawapo1 in a million lkn
Ova
Eti Chris Brown.....hahahah . Huyu Uchebe hawatampa kifungo cha nje. Ni Ukonga mojaaHuyu Uchebe anajifanya Chris Brown? Hii ni kesi, hawezi kumpasua Shilole wetu kama hivyo, lazima afunguliwe mashtaka. Shilole ni kiburudisho chetu, yaani huyu dada ni commedy kushinda hao wakina Stive Nyerere.
Kwa hiyo kina Mo na wanaume wote waliomtete Shilole ni wajinga,, umeiona tweet ya Mo Dewji? Kwa hiyo nae ni mjinga.Wanaume hatusalitian.
Yani wanaume tuko ndani sebuleni tunazungumzia hili suala na tulimalize wewe uko na wanawake nje kwenye mikeka unamtetea mwanamke.
Shwain wewe.
Ni kweli