Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Acha apigwe huyu,alimtessa sana mziwanda (nuhu) kapata size yake
 
Hakuna Cha ushindi wowote..uboya tu.
Hizo nguvu alizotumia kumpiga mkewe angewekeza kichwani apate akili zaidi ya kutafuta pesa.
Kwan unafikiri uchebe ni mariooo kwa shilole
Sema wanawake Wana maaudhi sana, ila siungi mkono kuwapiga ila wanakera sana na hawakumbukagi jema

Ova
 
Mwanaume kuandika "umeona eeeeeh" huo ni upuuzi na ni dalili za awali za kuelekea kuwa shoga wa kiwango kikubwa mno.


Sisi wanaume tunakushauri ujirudi acha uzwazwa.
Shoga mwenyewe ,, mbona unaleta habari ambazo hazipo,, come on jiheshimu mzee kama unanipinga nipinge kwa hoja sio kuni attack personal, huwezi kunipangia nini cha kuandika since device ni yangu na bundle ni langu kama hijakupendeza kaa kimya sio kujifanya unajua kila kitu
 
Jiheshimu wewe uheshimiwe, kwa hiyo wewe unaona Shilole alivyopigwa hivyo ni sawa? What if angekua dada yako kaolewa sehemu na kapigwa hivyo ungechukuliaje, acheni roho zenu mbaya .. Aliyekwambia kumpiga mwanamke ndio ushujaa nani??
Wanaume hatusalitian.

Yani wanaume tuko ndani sebuleni tunazungumzia hili suala na tulimalize wewe uko na wanawake nje kwenye mikeka unamtetea mwanamke.


Shwain wewe.
 
Huyu Uchebe anajifanya Chris Brown? Hii ni kesi, hawezi kumpasua Shilole wetu kama hivyo, lazima afunguliwe mashtaka. Shilole ni kiburudisho chetu, yaani huyu dada ni commedy kushinda hao wakina Stive Nyerere.
Eti Chris Brown.....hahahah . Huyu Uchebe hawatampa kifungo cha nje. Ni Ukonga mojaa
 
Hii nahisi ni kiki tu.......

Second Episode coming soon.......
 
Connection karibu zinaanza kutoka pia...tushaanza kuweka bando
 
Wanaume hatusalitian.

Yani wanaume tuko ndani sebuleni tunazungumzia hili suala na tulimalize wewe uko na wanawake nje kwenye mikeka unamtetea mwanamke.


Shwain wewe.
Kwa hiyo kina Mo na wanaume wote waliomtete Shilole ni wajinga,, umeiona tweet ya Mo Dewji? Kwa hiyo nae ni mjinga.
Aliyekuambia kumpiga mwanamke ndio ubabe ni nani, huyo Uchebe kama mbabe kweli si angeenda kumpiga huyo mwanaume ambaye kwa mtazamo wake au mawazo yake anadhani ndio kikwazo

Grow up.. Being kind is not a weakness
 
Back
Top Bottom