Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole hawezi kufugika hata iweje, tangu maisha yale ya Keko kwa mwendo wa kigereji hadi kufikia usanii hakuna cha kumbadilisha kuwa mke bora
Kwa hiyo ni halali kupigwa?
 
Kutokana na nature ya kiuumbaji, Mwanamke anachukuliwa kama kiumbe dhaifu kuliko mwanaume (japo wote tuna udhaifu in general kama wanadamu)

Kutokana na udhaifu huo by nature hata uhalisia kwenye maisha kua mwanamke ni kiumbe dhaifu.. Mwanaume kupigwa na mwanamke linaweza lisiwe jambo la ajabu sana kama mwanaume kumpiga mwanamke, kama umesoma moja ya comment yangu huko juu kuna mtu nimemjibu kua mwanamke kupigwa hata makofi mawili matatu kwenye ndoa hilo suala lipo ila sio kwa stage hiyo aliyofikia Uchebe, mpaka anamvizia mwanamke amelala usingizini ndio unampiga ngumi sasa si uboya huo.

Halafu mambo mengine mwanaume unatakiwa kujiongeza, umeshaona mwanamke amekuzidi kipato au upendo umepungua si uite ndugu m solve, ikishindikana si basi muachane, wanaume wangapi wanawapa wake zao talaka? Hapa inaonekana kawaida kwa sababu Shilole ni mzima, angefariki mfano huyo Uchebe angekua wapi sasa hivi? Au yule aliyemchoma mke wake na mkaa kaishia wapi sasa hivi?

Haya mambo yapo na yanaumiza lakini mwanaume lazima uwe na uwezo wa kutazama mbali, siku zote hasira ni hasara, haya alivyompiga kafaidika nini? Kwani hayo matatizo ya Shilole yameisha?
 
Safi sanaaa Uchebe πŸ‘πŸ‘
 
Juzi hapa mapenzi yalikua moto!πŸ€·β€β™‚οΈ
 

Attachments

  • 99DA10A5-69C5-4E36-969C-D03C1BD23874.jpeg
    77.2 KB · Views: 1
Tafadhali wasifu wa shilole ukoje, simjui, ni nani? Nauliza maana uzi umefunguliwa saa 9.35 mchana huu, posts ni zaid ya 320.
Uchebe ni nani?
 
Wanaume wasiojiamini ndo wanahitaji mwanamke ajishushe Kwa ajili yake.

"If you can only be tall when I'm on my knees, are you really tall?"

Kama uanaume wako unahitaji mwanamke ajishushe au a surrender kila kitu baada ya kuwa mkeo, wewe Ni mwanamme?
Alijua anaoa mwanamke mwenye pesa na umaarufu, alitegemea nini?
 
Kitendo cha msanii wa kike wa muziki wa bongo fleva na filamu Zuwena Masudi maarufu kama Shilole kushushiwa kipigo cha mbwa koko ama paka shume ni mwendelezo wa matokea mabaya ya dharau na ukosefu wa adabu ambao mara nyingi umekuwa ukifanywa na wanawake wenye vipato vikubwa zaidi ya waume zao ama wapenzi wao.

Kwa kweli kuna wakati dharau na uvunjifu wa heshima vinapozidi inabidi usimame kama mwanaume na ikibidi kama mbwai na iwe mbwai kipigo kitakatifu itabidi kichukue mahala pake hususani unapokutana na gumegume singo maza lililokata kamba kama Shilole.

Hongera Kaka uchebe kwa dozi hiyo ya kiwango cha kati.

 
Siku ya leo kumesambaa picha za Msanii Shilole akidai kuwa ameshambuliwa na mumewe almaaruf kwa jina la Uchebe.

Cha kusikitisha ni kwamba picha hizo ziko nyingi na zingine anadai kushambuliwa siku za nyuma, pamoja na umaarufu wake, pamoja na Kuanika picha hizo mtandaoni Uchebe hawezi kuchukuliwa hatua yoyote kama muathirika hajaripoti...

Rejea matukio ya kushambuliwa wanasiasa ni mpaka muathirika akaripoti ndipo wahusika wachukuliwe hatua...akili ndogo haiwezi kuelewa hii
 
Mwanaume kuandika "umeona eeeeeh" huo ni upuuzi na ni dalili za awali za kuelekea kuwa shoga wa kiwango kikubwa mno.


Sisi wanaume tunakushauri ujirudi acha uzwazwa.
Duuh hv wewe ni yule mang'ana mkomunisti?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hahahah Naona huyo demu amepata size yake,yeye si alikuaga anakapa kichapo heavy ka nuhu mziwanda mpk kanakimbilia barabarani,Ustaadhi Uchedi style yake ya kushtua kwa ngumi usingizini sijui alifundishiwa dojo gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…