Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
😂😂Hahah cheki watetea haki za wanawake sijui dawati la jinsia mara wakina Joyce Kiria watakavyomshukia Ustaadhi Uchebe kwa kasi ya mwewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Hahah cheki watetea haki za wanawake sijui dawati la jinsia mara wakina Joyce Kiria watakavyomshukia Ustaadhi Uchebe kwa kasi ya mwewe.
😄😄Tatizo shishi alidhani uchebe Ni mziwanda
Haya Sasa arudi kwa mziwanda[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ni halali kupigwa?Shilole hawezi kufugika hata iweje, tangu maisha yale ya Keko kwa mwendo wa kigereji hadi kufikia usanii hakuna cha kumbadilisha kuwa mke bora
Umeoa?Huwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
Kutokana na nature ya kiuumbaji, Mwanamke anachukuliwa kama kiumbe dhaifu kuliko mwanaume (japo wote tuna udhaifu in general kama wanadamu)Hao wakina Mo hatukuwaona kipindi Shishi anamtwanga Nuh Mziwanda na akawa anajitapa mitandaoni na clip zake zipo ingia kwa Millard Ayo uone. Huyo nuh Yuko tu kijitonyama ana stress za pombe kwasababu ya Huyo Shishi.
Sitetei mtu Kupigwa ila muwe mna balance mambo sio mwanaume anapigwa mnakula buyu ila Huyo Malaya akipigwa mnabinua midomo.
Safi sanaaa Uchebe 👏👏Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu niliposikia wanawake wenzangu wakipigwa niliwaambia PAZENI SAUTI, niliposikia mwanamke kule Kigamboni ameuwawa na kuchomwa moto niliomboleza na jamii na kusema Bora angesema".. huku mimi nikijikausha na kujitoa kwenye kundi lao wakati ukweli wangu MIMI NI MWENZAO, Naomba radhi.
Mimi ni kioo cha jamii, tena sura kubwa ya wanawake. Leo numeona nivunje ukimya kwa kuweka wazi kwamba MUME WANGU ASHRAFU SADIKI, maarufu kama UCHEBE AMEKUWA ANANIPIGA SAAANA, na tena hata baada ya kunipiga hajali kupiga simu wala kujua naendeleaje, nauguzwa na watu baki hospitali, na bado manyanyaso mengine yanayoikosesha hii ninayoiita Ndoa uhai na furaha
na zaidi nina WATOTO, watoto wanaoniangalia kama Baba na Mama, leo nikubali kufa na kuacha wanangu barabarani, SITAWEZA
'Uchebe' ni mwanaume niliyempenda, nilimvumilia kwa madhaifu yote, nikampa kila kitu, (Utu wangu, Mali Zangu na hata palipotakiwa kumuendeleza asimame mwenyewe nilifanya kwakuwa nilijua tuko pamoja), lakini HILO HALIKUWAHI KUZUIA VIPIGO, DHARAU NA USALITI.
Siku 2 zilizopita baada ya kutoka SABASABA KUTAFUTIA WATOTO WANGU NA KUMTAFUTIA YEYE NILIPIGWA SANA. SABABU ZA KUPIGWA NI MIGOGORO MIDOGO YA KAWAIDA AMBAYO IPO KWENYE KILA NDOA, sio kwamba amenifumania au mambo yanayoshindwa kuzungumzika, hapana, Tena Namuheshimu sana, lakini solution aliyoiona ni kunipiga kinyama bila huruma, tena kwa kunishtua na ngumi nikiwa usingizini, Kama mnavyoona picha hapo ni matukio ya siku tofauti tofauti.
Najua nitalaumiwa kwa kuweka hili mtandaoni, ILA SINA NAMNA, MAISHA YANGU NI MAISHA YA WATU KWA KIASI KIKUBWA, JAMII INANITAZAMA KAMA MFANO.. Nimefika mwisho, na kuanzia sasa naomba nisitambulike kama Mke wa Uchebe, ila Mama alieamua kuweka maslahi ya watoto wake mbele na kuamua kuwa mwenyewe kwa usalama na furaha yake
Wakati nahangaikia mambo yangu ya ndoa, post hii itumike kuwakumbusha wanawake TUVUNJE UKIMYA, TUPINGE UKATILI, TUTAKUJA KUULIWA SABABU
Pia soma > Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu
Lazima itakuwa ivyo tu Mkuu.Labda alikuwa Shilole anaota yuko na Polepole anabanjuliwa hivyo akawa anamtaja sana. Jamaa akaona isiwe taabu namshushia kipigo hapahapa.
Wanaume wasiojiamini ndo wanahitaji mwanamke ajishushe Kwa ajili yake.Nimeona shilole ameandika Gazeti refu sana kuhusu uchebe lakini amini Shilole ndo anazingua na hii yote sababu ana Pesa so anaishi like Uchebe hawezi mwambia kitu. Ukiwa na hela zako bhasi usiolewe wewe tafuta viben ten vya kukupa raha siku moja moja bhasii ila sio Utake MUME.
Ukishaolewa hizo hela zako weka pembeni vaa uhusika wa Mke..Fanya majukumu ya Mke pia Kuwa Mtii kwa mume wako na Upunguze Kidomodomoo lasivyoo utakuwa unapigwaa mpaka ukome sababu mwanaume kuwa juu ya mke ni Nature ukitaka wewe ndo uwe juu bhasi Utaumiaa tuuu na mimi nasemaa mpigwee tuu mpaka mnyooke.View attachment 1500945View attachment 1500946
Akili zikichoka tunawapa dozi kidogo kama hivyo ili watulize mapepeHuwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
Duuh hv wewe ni yule mang'ana mkomunisti?😂😂Mwanaume kuandika "umeona eeeeeh" huo ni upuuzi na ni dalili za awali za kuelekea kuwa shoga wa kiwango kikubwa mno.
Sisi wanaume tunakushauri ujirudi acha uzwazwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahah Naona huyo demu amepata size yake,yeye si alikuaga anakapa kichapo heavy ka nuhu mziwanda mpk kanakimbilia barabarani,Ustaadhi Uchedi style yake ya kushtua kwa ngumi usingizini sijui alifundishiwa dojo gani.