Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Kweli kumpiga mke hivi sio vyema. Nalaani kabisa...
.
.
Ila maelezo ya shishi.. nayoo nayatilia Shaka.
.
.
Na koti..


solution aliyoiona ni kunipiga kinyama bila huruma, tena kwa kunishtua na ngumi nikiwa usingizini, Kama mnavyoona picha hapo ni matukio ya siku tofauti tofauti.


Note.picha za siku tofauti .....tunataka picha ya Jana baada ya sabasaba........ova
 
Kama watu wote wakikosea wapigwe vile hospitali zisingetosha.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tunaambiwa kumkanya mwanamke ni bora Zaid kuliko kupeana talaka pia huenda shilole anazid ku panick akiona wanaume wazima walivyo shupalia kwenye mitandao na baadh ya wambea kusema uchebe kanyea saan yote Aya Yana mjaza shilole kichwa maji
 
Uchebe wa nchebele
Kisha nchebelua ntu uko
(In bambo voice)[emoji3][emoji3][emoji3]
 

Haijalishi kafanya nn kitendo cha Kumpiga binadamu mwenzako kwa Aina Ile hapana

Just emagine shishi ni mdogo wako wa mwisho au mtoto wako je ungeandika hivyo?
 
Mambo ya mke na mume nawaachia wenyewe hata wakiwa majirani zangu huwa siamulii ugomvi wao, hata kama watadundana hadi waumizane!
Kwel ni mambo ya kuyaacha tu unaweza ongea kitu baadae ukaoneka wewe chizi
 
Haijalishi kafanya nn kitendo cha Kumpiga binadamu mwenzako kwa Aina Ile hapana

Just emagine shishi ni mdogo wako wa mwisho au mtoto wako je ungeandika hivyo?
Huwez kusema kampiga kwa Ninavyo mjua shilole watakua walikua wanapigana shilole sio mwanamke wa kupigwa Tena na mwanaume Ana muudumia itakua shilole alifanya kosa uchebe akataka kumkanya shilole akajifanya mwamba na kutaka kuleta unuhu mziwanda kwa uchebe Tena hii huenda nyumba shilole alikua anafanya kwa uchebe ila jamaa imefika Hatua akasema basi Tena inaonekana uchebe alikua anampiga shilole akiwa ni mtu mwenye hasira Kal na shilole alivyo umia inaonekana kabisa alikua anajaribu kupigana kwa sababu mwanamke anae pigwa kwa ukorof wa mwanaume tu Mara nying Hua anaficha uso na Hua hamuangalii mumewe uson
 
Mkuu nakuunga mkono ila kipipgo ch kimahaba mara moja kw .waka siyo mbaya huwa kinaonesha kuwa kuna kidume ndani siyo hicho cha uchebe kinaoneka ni cha mario mwenye wivu

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 

Sawa tufanye walipigana
Ww unaweza kupigana na mke wako?
 
Lakin huenda shish amemkosea mume wake pakubwa mno siyo bure kipigo hicho aisee
 
Nimemskia Gardner G Habash kwenye Jahazi anakomaa kumponda Uchebe na akiomba Kamanda Siro amshike Uchebe bila ata kujua chanzo ni nini,,pia mwenye makosa ni yupi,!!Hii ni hatari,,je kama Shilole alimtukana Chalii ana kibamia??acheni izo ariff
 
Wanawake hasa Hawa macebrity wa TZ ukiwaoa au wakikuoa(Kama case ya Uchebe) lazima wewe mume uwe sawa akichelewa,akilala nje etc....wanakuwaga na madanga Yao yanayowaweka mjini na hizo biashara zao wanazozimiliki mtaji kapewa na madanga. Sasa Uchebe na Eli mu yake ya Madrassa🤣🤣🤣 anajua ndoa ni ya KiISLAM 😭😭😭😭😭😭 we utaua mtu!! Anarudi kalowa kote kote na analeta ubabe wa ule wa kumpa vitasa Nuu Mziwanda🤣🤣🤣.Mimi nipo kazini na ni Muislam na tumeoana kiisalm Shilole nakupa vitasa tuuuu💂ALISIKIKA UCHEBE KABLA AJAANZA KUMWADABISHA SHILOLE
 
Kupiga siyo suluhisho bora uachane naye tu
Mwanamke mwenye kilomita zimeenda, ashapigana vita kibao ww unangaika naye ya nini

Ova
Yeaah Bora na mara mia unaacha unakamatia Mzinga mwengine.

Shida hawa vijana wanapenda kulelewa, sasa hapo alipo alijua keshamkata, hata akimpiga vipi lazima arudi.


Lkn utashangaa kamrudia hahaha.. Unajua kwann wakurya wanawapiga wanawake wao sana lkn wanawake hawaondoki?? Yaan hata km wee ni Mchaga, ukiolewa na mkurya utapigwa sana lkn hutokaa uondoke, unaweza beba mabegi mpaka stendi lkn ukaishia kurudi.



Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…