Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Mwanaume unalelewa halafu unakuwa mkorofi ?

Hayo mengine ni gharama za kulelewa hakuna cha bure mjini labda salamu tu [emoji108][emoji108]
Tufafanulie analelewa vipi!!??
Uchebe hana kazi? Hapati pesa?
 
Haijalishi kafanya nn kitendo cha Kumpiga binadamu mwenzako kwa Aina Ile hapana

Just emagine shishi ni mdogo wako wa mwisho au mtoto wako je ungeandika hivyo?
Ila kumpiga Nuhu vile ilikuwa sawa!!?
 
Una mihemuko mkuu hata wew umelijulia tatizo kwenye social media hujui source ni nin waja kutapika tu huku
Ijulikane hiviii hakuna mwanaume Wala mtu yeyote mwenye haki juu ya maisha au mwili wa mtu mwingine so km kamkosea angempa talaka yake kwani ndoa si lazima Kama imekushinda.
 
nasubiri kuusikia na upande wa pili (uchebe) kabla ya kuhukumu kesi ni lazima uzipe pande zote mbili haki ya kusikilizwa kisha ndipo uje na maamuzi ya nani ni mkosa baina yao.
Nimemsikia uchebe akisema kwamba huyo mwanamke hizo picha anazosambaza ni za siku nyingi na juzi sabasaba alikuwepo mzima na hata huyo shilole mpaka leo hii hana hayo majeraha,ila tatizo limetokea shilole hajalala nyumbani siku mbili,na hajulikani alikuwa analala wapi,hivyo kosa ni mumewe kuuliza alikuwa wapi ndio kaamua kuachana na kupost hizo picha za kitambo
 
Akumbuke kua huyo anayempiga pia ni mama wa watoto wengine achilia mbali kuwa mkewe unahisi hao watoto wanaonaje kuona mama yao anapigwa!?
Vimekushinda ondoka
 
Ukileta ushubwada lazima upigwe , tena kipigo heavy.
Muulize Rihanna anakikumbuka kipigo alichopewa na Chris Brown
Nataman nipate mtu km huyu sababu km tusipogawana majengo ya serikali ni ataozea jela Mimi hata ndugu yangu hapigwi umemshindwa mrudishe .
 
Tunaambiwa kumkanya mwanamke ni bora Zaid kuliko kupeana talaka pia huenda shilole anazid ku panick akiona wanaume wazima walivyo shupalia kwenye mitandao na baadh ya wambea kusema uchebe kanyea saan yote Aya Yana mjaza shilole kichwa maji
Hela anatafuta mwenyewe kwanini asiwe na jeuri jmn nikanye kwa maneno umeshindwa nipe talaka
 
Ushaskia ngumi imerushwa wakati kalala angemrudishia saa ngap!?
Plus sio kitendo Cha Mara moja nataman yamkute nduguyo yeyote tuone km utashabikia Kam unavyoshabikia hapa.
 
Ukimuangalia shilole kwa umakini sana utagundua kuwa kuna character anayo ya kiubabe ubabe na dharau japo anajitahidi sana kuificha in public. Kama alikua akimpiga nuh basi siwezi kushtuka uchebe "kumvizia" na kumpasua.
 
Kwel ni mambo ya kuyaacha tu unaweza ongea kitu baadae ukaoneka wewe chizi
Waweza kuta wanagombana kisa hawajapeana unyumba, sasa mume anamfosi mkewe apewe na ni haki yake, then we na kihere here chako unakwenda kuamulia. Sasa mume anakwambia "Kwanini umekuja kuamulia wakati nadai haki yangu, Utanipa wewe?" hapo utajikuta unaondoka mdogo na kuhisi kama umetukanwa wakati yuko sahihi. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Mambo ya mume na mke, waachie wenyewe
 
Hii sentensi ni ushauri ulio tukuka.
hawa viumbe ukiwaachia sana wanakupanda kichwani
 
Kwa mfano kosa gani la kukufanya umpige mtu kiasi kile? Nadhani kumsepesha ni uamuzi bora kabisa. Unampiga mtu kiasi kile kesho na kesho kutwa unamwambia 'nakupenda'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…