Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Haijalishi kafanya nn kitendo cha Kumpiga binadamu mwenzako kwa Aina Ile hapana

Just emagine shishi ni mdogo wako wa mwisho au mtoto wako je ungeandika hivyo?
Ila kumpiga Nuhu vile ilikuwa sawa!!?
 
Kiukweli mimi kama mimi binafs naona watu wote wanao Kuja juu na kumtupia lawama uchebe hawajui walitendalo

Kwanza kabla ya kuropoka watambue Ile ni ndoa na ndoa Ina mipaka yake na misingi yake
Watu hawatakiw Kuanza kuongea eti apelekwe Polisi kina baba levo wanajiropokea tu

Swala la ndoa na maamuz ya ndoa ni yawatu wawil tu mwanamke na mwanaume so kuhusu uchebe afanywe Nini ilo ni swala la Shilole mwenyewe kama Atalipeleka kwenye vyombo vya sheria au Kwenye Familia

Pia huwez jua shilole kakosea Nini na baada ya kufanya kosa alipo ambiwa Alifanya Nini huenda Shilole na Yeye Alirusha ngumi

Pia wanawake ambao wanajua Kabisa wao Ndio kila kitu kwenye Familia Hua wanadharau Sana wanaume Wao

Unakuta midume inashupalia uchebe kumpigia shilole wakat shilole alipo kua anampiga Nuhu mziwanda ilikua kimia
Una mihemuko mkuu hata wew umelijulia tatizo kwenye social media hujui source ni nin waja kutapika tu huku
Ijulikane hiviii hakuna mwanaume Wala mtu yeyote mwenye haki juu ya maisha au mwili wa mtu mwingine so km kamkosea angempa talaka yake kwani ndoa si lazima Kama imekushinda.
 
nasubiri kuusikia na upande wa pili (uchebe) kabla ya kuhukumu kesi ni lazima uzipe pande zote mbili haki ya kusikilizwa kisha ndipo uje na maamuzi ya nani ni mkosa baina yao.
Nimemsikia uchebe akisema kwamba huyo mwanamke hizo picha anazosambaza ni za siku nyingi na juzi sabasaba alikuwepo mzima na hata huyo shilole mpaka leo hii hana hayo majeraha,ila tatizo limetokea shilole hajalala nyumbani siku mbili,na hajulikani alikuwa analala wapi,hivyo kosa ni mumewe kuuliza alikuwa wapi ndio kaamua kuachana na kupost hizo picha za kitambo
 
Hata kama ni halali kumpiga mke akikosea ila sio kwa ukubwa ule wa kipigo. Tena kapiga sana usoni alidhamiria kumuumiza na hata wakiachana awe hana soko tena maana front Ofice kashaiharibu.

Sijawahi kuona mama akipigwa hivo au mama yake uchebe ndio alikua anafanyiwa hivo.? (Sorry to say your mom)
Akumbuke kua huyo anayempiga pia ni mama wa watoto wengine achilia mbali kuwa mkewe unahisi hao watoto wanaonaje kuona mama yao anapigwa!?
Vimekushinda ondoka
 
Ukileta ushubwada lazima upigwe , tena kipigo heavy.
Muulize Rihanna anakikumbuka kipigo alichopewa na Chris Brown
Nataman nipate mtu km huyu sababu km tusipogawana majengo ya serikali ni ataozea jela Mimi hata ndugu yangu hapigwi umemshindwa mrudishe .
 
Tunaambiwa kumkanya mwanamke ni bora Zaid kuliko kupeana talaka pia huenda shilole anazid ku panick akiona wanaume wazima walivyo shupalia kwenye mitandao na baadh ya wambea kusema uchebe kanyea saan yote Aya Yana mjaza shilole kichwa maji
Hela anatafuta mwenyewe kwanini asiwe na jeuri jmn nikanye kwa maneno umeshindwa nipe talaka
 
Huwez kusema kampiga kwa Ninavyo mjua shilole watakua walikua wanapigana shilole sio mwanamke wa kupigwa Tena na mwanaume Ana muudumia itakua shilole alifanya kosa uchebe akataka kumkanya shilole akajifanya mwamba na kutaka kuleta unuhu mziwanda kwa uchebe Tena hii huenda nyumba shilole alikua anafanya kwa uchebe ila jamaa imefika Hatua akasema basi Tena inaonekana uchebe alikua anampiga shilole akiwa ni mtu mwenye hasira Kal na shilole alivyo umia inaonekana kabisa alikua anajaribu kupigana kwa sababu mwanamke anae pigwa kwa ukorof wa mwanaume tu Mara nying Hua anaficha uso na Hua hamuangalii mumewe uson
Ushaskia ngumi imerushwa wakati kalala angemrudishia saa ngap!?
Plus sio kitendo Cha Mara moja nataman yamkute nduguyo yeyote tuone km utashabikia Kam unavyoshabikia hapa.
 
Ukimuangalia shilole kwa umakini sana utagundua kuwa kuna character anayo ya kiubabe ubabe na dharau japo anajitahidi sana kuificha in public. Kama alikua akimpiga nuh basi siwezi kushtuka uchebe "kumvizia" na kumpasua.
 
Kwel ni mambo ya kuyaacha tu unaweza ongea kitu baadae ukaoneka wewe chizi
Waweza kuta wanagombana kisa hawajapeana unyumba, sasa mume anamfosi mkewe apewe na ni haki yake, then we na kihere here chako unakwenda kuamulia. Sasa mume anakwambia "Kwanini umekuja kuamulia wakati nadai haki yangu, Utanipa wewe?" hapo utajikuta unaondoka mdogo na kuhisi kama umetukanwa wakati yuko sahihi. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Mambo ya mume na mke, waachie wenyewe
 
Huwa nasema hivi, mwanamke hana tofauti na mtoto mdogo.

Mtoto anaweza akashika wembe akaanza kujaribishia kujikata, lengo aone utareact vipi. Same wanawake wanahuo ujinga, anafanya vitu kwa kutega, akiona kila kitu unachekacheka tu tayari anakupanda kwenye utosi.

Mheshimu with limits, akikiuka muonye asiposikia act kama mwanaume.
Ukicheka na nyani utavuna mabua.
Hii sentensi ni ushauri ulio tukuka.
hawa viumbe ukiwaachia sana wanakupanda kichwani
 
Seriously ..... ...
Kuna makosa ya kupuuza tu ...hayakuathiri kitu .

Kuna makosa ya kuadhibu kwa mashine tu

Kuna makosa ya kuadhibu kwa mdomo na

Yapo yakuadhibu kwa makofi kwelikweli.

Yapo yanayotakiwa ya akina uchebe, ila kwakua Nakapenda kamoyo kangu, Napenda Maisha yangu, napenda kila kitu changu kwamba Bado natakiwa kufaidi mazuri ya mbele...Sikugusiiiii wala nn, Kuondoa Shali, Bebe nguo zako usepe kiroho safi, usingoje nikusepeshe na watu wakajua Umesepeshwa. Sheria namba moja.
Kwa mfano kosa gani la kukufanya umpige mtu kiasi kile? Nadhani kumsepesha ni uamuzi bora kabisa. Unampiga mtu kiasi kile kesho na kesho kutwa unamwambia 'nakupenda'?
 
Back
Top Bottom