Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Tufafanulie analelewa vipi!!??Mwanaume unalelewa halafu unakuwa mkorofi ?
Hayo mengine ni gharama za kulelewa hakuna cha bure mjini labda salamu tu [emoji108][emoji108]
Uchebe hana kazi? Hapati pesa?