Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Una hakika sentesi yako ya mwisho kuwa ni chotara na sio mkorogo?
 
Nimemskia Gardner G Habash kwenye Jahazi anakomaa kumponda Uchebe na akiomba Kamanda Siro amshike Uchebe bila ata kujua chanzo ni nini,,pia mwenye makosa ni yupi,!!Hii ni hatari,,je kama Shilole alimtukana Chalii ana kibamia??acheni izo ariff
Hiyo captain naye ni wa kupigwa tu kama shilole
 
Ushaskia ngumi imerushwa wakati kalala angemrudishia saa ngap!?
Plus sio kitendo Cha Mara moja nataman yamkute nduguyo yeyote tuone km utashabikia Kam unavyoshabikia hapa.
Uo pia nahis ni baadh ya uongo wa shilole alijaribu akakutana mwanaume ni mwamba na hayo ndio matokeo
 
Akumbuke kua huyo anayempiga pia ni mama wa watoto wengine achilia mbali kuwa mkewe unahisi hao watoto wanaonaje kuona mama yao anapigwa!?
Vimekushinda ondoka
Nan vimemshinda aondoke uchebe au shilole pia nahis ulitaka uchebe Pamoja na dharau zote alizo onyeshwa aondoke kinyongo kama nuhu au?
 
Uchebe ni muoga sana!

Hana tofauti na Nunu Mziwanda alokuwa akipigwa makofi na Shilole !

Kwanini asingekuwa anampiga akiwa macho mubashara?

Kwanini asubiri Shilole amelala ndiyo amvizie kumpiga?

Inamaana anamuigopa [emoji14][emoji14][emoji14]
Akipigwa ngumi moja anaamka. Kwa hiyo alipigwa akiwa macho
 
Jinga sana. Na kwa nature ya wadada wa humu walivyo akiwafuta PM basi atawasifia na mwisho atawavua chupi.

Anatafuta sympathy kwa wadada wa humu maana anajua ni dhaifu, wakisifiwa kidogo ama ukisimama kwa upande wao basi chupi unawavua.
Jamaa limeishia kuunga juhudi za wakina dada
 
Tuondolee ubwege hapa, kama watu wote wakikosea wapigwe vile hospitali zisingetosha.
Nishawahi kupiga manzi wangu mpaka alizimia mana naye alikuwa anapambana nami kwa visu na mapanga.
 
Inferior complex ni kitu kibaya sana!

Wanaume wasio na kazi wengi wanasumbuliwa na hiyo kitu !
Uchebe Hana kazi ?

Jamii forum kila mtu ni mjuaji haki ya Mungu ?


Uchebe ana kazi inayoweza kuwa inamuingizia hela nzuri kuliko watu wengi wanaosubiri mishahara mwisho wa mwezi.


Jamaa ana gereji Yake magomeni nenda kamtembelee siku moja halafu uwe unapiga mahesabu pale uje kuleta mrejesho hapa.
 
Kwa mfano kosa gani la kukufanya umpige mtu kiasi kile? Nadhani kumsepesha ni uamuzi bora kabisa. Unampiga mtu kiasi kile kesho na kesho kutwa unamwambia 'nakupenda'?
Kwa mfano Usaliti, Hapa nikipigo ila kwakua binafsi sheria yangu haithubutu kusamehe msaliti, Tinaachana ,hapa hata kama unamimba unaondoka... tumezaa watoto wangapi UNAONDOKA.


Kipigo ni suala moja, kupenda nilingine.


Alafu muda wakukaa mnagombana niwann??? Yaan badala ya kuwaza maendeleo yenu, mnawaza maujinga na magonvi na mabembelezano yasokua namaana khaaaaaaa....BADILIKENI.
 
Haya tutabadilika
 
Usijiapize haya mambo. Wanawake wana maudhi sana. Ukikua utajua
 
Sure, ukimpa Heshima mwanaume, aiseeee hautakaa kuona neno baya juu yako.


Sema sasa nyinyi, mmekua wanaharakati, kuchepuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Bora uzalishee kama Ney wa mitego lea wanao fresh.
Ni kweli. Hiyo sentensi yako ya mwisho tumeisikia huhitaji kuongeza volume
 
Ni kweli. Hiyo sentensi yako ya mwisho tumeisikia huhitaji kuongeza volume
Hahahah asubuhi njema...

nilazima ujifunze kuendana na nyakati.

Sasa ikiwa Ndo hali yenyewe iviii kuna haja gan ya kufikishana mbali???

*Unaweza kua na Hamu ya Chai ya Maziwa, kipi bora..? Ufuge ng'ombe wa maziwa uingie gharama kumtunza sana nabado anakunyea????
Tumia pesa yako kununua maziwa na kunywa chai kadiri utakavyoweza???*.... Prof mmoja ivi alisema hayo

Shida ya wanadamu, hasa nyie wanawake huwa mkitenda mnajiona mnafaa, ila mkitendewa hahahhaha Dunia itajua.

Anapofanya Hatua 99 kukufuata.. basi wee piga 1 kumfikia, ..sasa nyie mnataka mtu apige zote 100.
 
Ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…