Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Una hakika sentesi yako ya mwisho kuwa ni chotara na sio mkorogo?nimekuelewa sana.hata mimi niliishi na mke kwa miaka kumi na sikuwahi kumpiga ingawa alikuwa na mdomo sana na wivu wa kupindukia kiasi kwamba ukirudi nyumbani unanuswa hadi boksa.ilifkia nikawa nachelewa kurudi homu afu niko tusuu ili nikifika nilale tuu.siku hiyo nimefika akanianzia mdomo nikamchimba biti kali naona ananibebea kisu afu akanirushia nilikuwa kifua wazi kananipapasa begani.niliamka kwa asira hiyo kichapo nilitembeza ni mbwa koko na km sio watoto kuamka na kuanza kulia ndo nikahurumia watoto nikamuachia kachakaa uso wote.nikampa first aid vizuri akalala mbona adabu ikawepo.nikasema sijui sk zote nilikuwa wapi kuweka hishma ya kupiga vitasa.leo nimeona hili jambo hapa nikakumbuka huyu shilole wife wana undugu kutokea huko igunga unajua hawa wana ngebe sana sbb wana uchotara flani toleo la mwisho