Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Kwa mfano kosa gani la kukufanya umpige mtu kiasi kile? Nadhani kumsepesha ni uamuzi bora kabisa. Unampiga mtu kiasi kile kesho na kesho kutwa unamwambia 'nakupenda'?
X nakupenda, naapa sitokupiga tena![emoji6][emoji6][emoji6]
 
Kwanini asimburute mpaka kitandani akampigie hapo? Akitoka hapo usingizi umeisha na hasira zote zimeshayeyuka? Ila kwanini ampige ngumi zile tena usoni?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
ulitaka ampige za wapi?
 
Yaani kukupiga kikofi cha paja tu ndio umezira hadi leo?[emoji2817][emoji2817][emoji2817] wakati mwenzio kafumuliwa vyote hivyo na keshokutwa watakuwa pamoja, unanikatili ujue?![emoji44][emoji44]
 
Mkuu si kila mwanamke ni wa kuishi nae kwa akili, kuna muda ukiyafuata sana maandiko ya kwenye vitabu vya dini unapoteza muelekeo wa maisha.
.. Usiibe __ iba
..Ishi nao kwa akili __ jitie kichaa kwa muda
Kuiba?
 
Yaani kukupiga kikofi cha paja tu ndio umezira hadi leo?[emoji2817][emoji2817][emoji2817] wakati mwenzio kafumuliwa vyote hivyo na keshokutwa watakuwa pamoja, unanikatili ujue?![emoji44][emoji44]
[emoji849][emoji849][emoji849] kwa hiyo unataka nirudi ili unifumue kama shishi roho yako ndio iridhike?
 
Mkuu si kila mwanamke ni wa kuishi nae kwa akili, kuna muda ukiyafuata sana maandiko ya kwenye vitabu vya dini unapoteza muelekeo wa maisha.
.. Usiibe __ iba
..Ishi nao kwa akili __ jitie kichaa kwa muda
Ukiona mwanamke umeshindwa kuishi naye kwa akili jibu ni simple, Huna akili za kutosha kuishi na huyo mwanamke....sio level yako, muache atapata wenye akili zinazo-match na yeye na wewe tafuta unayeweza kummudu kwa akili hizo chache...simple
 
Haya
 
anakuwa amekufundisha somo siku nyingine uwe makini
We unahisi ukimpiga unaona umemfundisha kwamba anaeza asirudie tena??? probability πŸ˜‚πŸ˜‚.akirudia tena je? we sio mwalimu mzuri

Unapaswa utambue bnadam ana hulka(asili) na bahati mbaya.means umemkanya kwa kinywa kagoma kubadilika si chini ya mara moja,bro move on hiyo ni asili ake km utashindwa kustahimili upungufu huo.

Na mwanamke anayekupenda kwa dhati na kukuheshimu ukimkanya kitu ni mwepesi kuacha otherwise kuwe kuna mazoea baina yenu yaliyovuka mipaka ambayo unaweza mrekebisha au mkumbusha kwa kutumia means tofauti.
Mfano kumpa mda aitambue thaman yako upya,ajue we ni sehem gani ya maisha yake.

Mwanaume anayejitambua hutumia akili zaidi kuliko nguvu
 
Na mwanaume akipigwa na mwanamke kama Nuh alivyokuwa anapigwa na Shishi huwa unajiskiaje
Huwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
 
Una hakika na haya unayoyasema?
 
Umeongea hali halisi ilivyo
 
Ni rahisi sana watoto wadogo kusema naondoka nabeba vyangu,kivitendo siyo rahisi kihiiivyo,huyo alikuwa mke kisheria,ukiondoka anaweza kukufuata uliko na haki itambeba maana ndoa bado hai,mi ushauri wangu ni kama haupo kwenye ndoa,ama kama una miaka michache kwenye ndoa usijifanye fundi wa kuongea na kukosoa yanayojiri,lkn tujitahidi kuzuia kwanza vyanzo vinavyoweza pelekea matumizi ya nguvu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…