Kwanza mwanamke hapigwi usoni na si mwanamke tu bali mtu yoyote ni kosa kumpiga usoni. Haya ni mfanzo kwa mujibu wa imani yangu.
Suala la kumpiga mwanamke ni hatua ya mwisho kabisa katika kuadabisha na ikitokea anapigwa kibao ila mara nyingi ni kifuani, na lengo la kufanya hivyo ni kuonyesha ni kwa namna gani umekesarishwa. Ikitokea akarudisha hutakiwi kupigana nae, sababu wanaume tulio wengi tukiamua kupiga tunapiga tunaua.
Kuhusu yeye nikimuudhi, ni juu yake kuangalia ni njia gani atakayo tumia kuonyesha ya kuwa kweli ameudhuka, na hili ni juu yake yeye.