Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Hawa wanawake mastaa wa bongo ni pasua kichwa.Eti unamuoa staa wa kibongo halafu atulize mshundu ndani;Never!

Ila na mwanaume kakosea huwezi kumpa kipigo mkeo kiasi cha kumuumiza hivyo.Huo ni ukatili!
Mwanamke amezalishwa huko na wanaume watatu tofauti na wote kashindwana nao afu ustaadhi uchebe akajua ataweza kumtuliza?

Mambo ya kupigana ni ya kishamba lkn hivi huyu Shilole si alikuaga anambonda Nuhu Mziwanda mpk chalii anakimbilia kwny media kusema na Shilole akawa anajitapa akisema yeye hapendi upumbavu na kweli hua anampa chalii kichapo heavy.

I guess sasa amepata size yake.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wenyewe watakuja kukujibu,looh wataka kusema hao wenye mapicha mwilini si BINADAMU kabisaaa?
 
Hahah ndo umenikumbusha sasa.
Au itakuwa alijaribu na huo mchezo kwa mcheza karate uchebe akapewa kipigo heavy.
 
Wewe unaoa lini?
 
Hata angekua anafanyia ndani kwake hana sababu ya kumpiga. umemshindwa mtu achaneni kwa amani, kwanza mwanaume alikua analelewaalitegemea anakula vya nani kama sio wanaume wenzie? Shilole kakosea angempiga hata chupa wawe even
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…