hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Uchebe wakati anatoka na shilole sio kwamba alikuwa hayajui mapungufu yake ..sio kwamba alikuwa hajui kuwa mkewe ni mdangaji .Ila kwa kuwa hakuwa amemzoea kwa kuwa hakuwa ame fall in love akadiriki kujiongopea kuwa hayo ni mambo ya kawaida tu . Wajua kama hauja fall kwa mtu ni vigumu sana kuwa na wivu nae shida inakuja sasa zile moment mnazokuwa pamoja zinapoanza kujenga mazoea ndani ya moyo na fikira zako ..taratibu moyo wako unaanza kujenga wivu ' mwisho wa siku unajikuta unaanza kushindwa kuya vumilia Yale ambayo zamani ulikuwa unayaona but kwa kuwa ulikuwa hauja fall ukawa unajiongopea kuwa ni mambo ya kawaida tu na utajitahidi kumbadilisha mwenza wako tabia mbele kwa mbele yaani unaanza kujiongopea una sahau kwamba mtu aliyekuoa au uliye muoa ni mke wetu au mume wa watuKuna makosa mengi sana tunayafanya wapenzi pale mapenzi yanapoanza,yanakuwa hot sana kiasi cha kwamba unakuta mwenzako ana mapungufu flani lakini unajipa moyo kuwa iko siku atakuja kuacha,ni wachahe sana walikuja kuacha tabia zao baada ya kuoana.
Ila wengi walibaki nazo na hata kuwa wabaya zaidi,ndio maana kuna usemi unasema kosea yote lakini usikosee kuoa au kuolewa,kwahiyo mtoa mada sio kama tabia ya huyo mwanaume alianza ghafla from no where,ukichunguza huyo mtu alikuwa na hizo tabia kabla hata hawajafunga ndoa,sema ndio hivyo penzi ni upofu......
Hapo ndio shida inapoanzaga