Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Yule dada aliyeporwa mume na Shilole atakuwa anatabasamu to hii habari.
 
Hata ukiwa nazo pia ni shida .... Mwanamke au mwanaume akiwa star kumdate unajitakia matatizo tu

Mike Tyson aliwahi kumfania mkewe kiandani kwake akiwa na brad Pitt

Yaani licha ya u-star wote alionao na mipesa yote wakati huo mike anatamba dunia nzima ---lakini akawa anachapiwa na brad Pitt tena anachapiwa mpaka kwake ....
😂😂
 
Hahah ila huyu demu nae hua ni taahira sana,ile siku ya uzinduzi wa albumu ya Harmonizer pale ukumbini alikuwepo Jk,Mwakyembe,Tulia,jamaa wa basata na watu kibao si huyo shishi akapewa nafasi ya kuimba mara naona anaanza kuimba sijui motherfucker nini mara paaap akaanza kuonyesha kidole cha kati huku ma sceen yote mle ukumbini yakimuonyesha.,hahah.

Ndipo nikajua dishi huyu limeshayumba kitambo sana.
Noma sana😆😆😆😆
 
😂😂😂😂 heheiyaaaaa...kipigo Cha shishi kimeleta Mambo.
 
Mtia nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM Zena Mohamed aka Shilole ametangaza kumuacha mme wake wa ndoa Mr Uchebe.

Shilole amedai ameamua kumuacha Uchebe kutokana na vipigo alivyokuwa akipokea mara kwa mara kutoka kwa mumewe.
Pamoja na hayo Shilole amesema harakati zake za kulinyakua jimbo la Igunga huko Tabora ziko pale pale.

Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
CCM mwaka huu wana wagombea wa kila aina..wehu..mataahira..vichaa..basi habari za namna hii ni za kawaida kabisa huko.
 
Mtia nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM Zena Mohamed aka Shilole ametangaza kumuacha mme wake wa ndoa Mr Uchebe.

Shilole amedai ameamua kumuacha Uchebe kutokana na vipigo alivyokuwa akipokea mara kwa mara kutoka kwa mumewe.
Pamoja na hayo Shilole amesema harakati zake za kulinyakua jimbo la Igunga huko Tabora ziko pale pale.

Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Habari ishachakaa hii ndo unaileta sasa? Nenda kawe kampeni meneja wake, Uchebe aje awatandike wote wawili mkikataa kumpa uroda
 
Nimesikitika sana ..Kuna wanaume hawana shukrani mwanamke akustiri uonekane mtu mbele za watu na bado wamfanyia Mambo meusi..Hana haya na sura lake baya Kama sokwe.
Anamsitiri wapi? Ampe tigo aone kama atabwatuliwa makonde...

SHilole mdangaji tu kama wadangaji wengine, acha afundishwe adabu

Maendeleo hayana chama
 
hahahah Naona huyo demu amepata size yake,yeye si alikuaga anakapa kichapo heavy ka nuhu mziwanda mpk kanakimbilia barabarani,Ustaadhi Uchedi style yake ya kushtua kwa ngumi usingizini sijui alifundishiwa dojo gani.
Hii staili ya kubutua masumbwi usingizini nimeipenda sana... Maana kale kamoyo ka kumwonea huruma kanakuwa kamelala....
 
Eehe akichoka atafute mwingine wa kumkunaa nae atakujaa kumtandikaa tuu...!! Maana mwanamke mwenye mdomo na dharau hafai kuolewaa
😂😂😂😂😂
Chakushangaza wanaolewa Sana tu Kama shishi..tafuta pesa dharau utazisikia kwa jirani.
 
Back
Top Bottom