Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Kwani huyo gendaheka hakujua Kama shishi mdangaji!!? Alijua na bado akapeleka pumbu zake pale..Kama aliona shishi habadiliki angemuacha tu kiroho Safi..kumpiga ndiyo kaona ushindi.. ndiyo Kwanza kampatia ticket ya Bibi shishi kudanga kwa Uhuru..umariooo wahitaji subraaa jamani.
Hiyo ndo inaitwa mbwa kala mbwa...

We nenda kadange uniumize roho, nami nakuibukia usiku nakuumiza sura

Malipo ni hapahapa Duniani....

Mwisho wa siku kidume kimeibuka na ushindi, Shilole kaomba poo
 
Huyu Uchebe anajifanya Chris Brown? Hii ni kesi, hawezi kumpasua Shilole wetu kama hivyo, lazima afunguliwe mashtaka. Shilole ni kiburudisho chetu, yaani huyu dada ni commedy kushinda hao wakina Stive Nyerere.
Krisi Brauni alitaka kuua...Rihana utafikiri siyo yeye dah...
92c515ec5b78aa52baa8fb18995a827d.jpg
 
Hiyo ndo inaitwa mbwa kala mbwa...

We nenda kadange uniumize roho, nami nakuibukia usiku nakuumiza sura

Malipo ni hapahapa Duniani....

Mwisho wa siku kidumw kimeibuka na ushindi, Shilole kaomba poo
Hakuna Cha ushindi wowote..uboya tu.
Hizo nguvu alizotumia kumpiga mkewe angewekeza kichwani apate akili zaidi ya kutafuta pesa.
 
Nikiwa mkubwa niwe kama Uchebe, sikia eeh Baba!
 
Back
Top Bottom