hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Sisis wa kanda maalumu tunazoom comeents tu, hapo shilole kapigwa au kapapaswa tu, njooni huku kwetu tarime mshuhudie vipigo na ndoa inaendelea kama kawa
Sio sifa ni ujinga na ushamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisis wa kanda maalumu tunazoom comeents tu, hapo shilole kapigwa au kapapaswa tu, njooni huku kwetu tarime mshuhudie vipigo na ndoa inaendelea kama kawa
Ila kumpiga Nuhu vile ilikuwa sawa!!?
Kila mmoja anamapokeo yake,huyo uchebe angekuwa mtu mwingine pia unaweza kuta hata angemuua kabisa huyo shilole na angekuwa mwingine angekubari kuletewa hata mume mwenzake ndani,watu wametofautiana
Achana na huyo mpuuzi ukafanye maisha na mwengine sio hadi umpigeMwanamke mpuuzi anatakiwa apigwe.
Uchebe atakula alikopeleka mboga...kashanyea kambi...atafute jimama lingne la kumlea...Ashukuru kapigwa,Angetiwa kwenye gunia la mkaa sijui angepata wapi muda wa kuandika ujinga wake..
yuko wapi now huyo mwanamke?Naona wengi mnatetea hicho kipigo anyway kipindi cha ujana na upumbavu wangu nishawahi kuwa na mwanamke pasua kichwa,yanii nashukuru mpaka tunaachana sijawahi mrushia hata kofii ilaa kwa wapigaji yule unaweza UA kabisa!!!!
Mkuu vibao vya mashavu na mbata za mgongo atapata.. Lakini kumpiga ngumi hapana mkuu naomba Mungu tu anisaidie..Usijiapize haya mambo. Wanawake wana maudhi sana. Ukikua utajua
anakuwa amekufundisha somo siku nyingine uwe makiniUkishanipiga inabadili nini ama inakuongezea nn.ama unakua umeboresha hadhi ya kiumeni?
Yaani umekubali awe mmeo afu hastahiri Heshima?Ukiona mwanaume anajihami Sana ohh mke wangu ana kipato kikubwa..Mara mke wangu msomi..huyo hajiamini....! Wanaume wengi Sana hawajiamini!
Mwanaume ukijiamini automatic na Mke atakuheshimu tu iwe isiwe ..! Yaan piga ua..
Sasa wewe hata hela huna [emoji57] mawazo endelevu huna ..unashinda insta na fb dume Zima kuchek makalio...unalalamika daily..unalia Lia weee unajiweka nyuma tu lazima kikuume...
Wanawake popote mlipo fanyeni kazi kwa akili na heshimuni wanaume zenu...hawa watu wanatakaga tu heshima hata km hastahili...kitu kidg tu..mheshimu Ila wewe hakikisha akaunti inanenepa!
Wanaume mnaojiamini popote pale cheers[emoji1732][emoji2484]!
Pole Sana Shilole..
Huyo uliyemjibu ni kahabaYaani umekubali awe mmeo afu hastahiri Heshima?
Kwaiyo wewe ukiambiwa una kibamia.. unasambaza kipigo jumla jumla.Nimemskia Gardner G Habash kwenye Jahazi anakomaa kumponda Uchebe na akiomba Kamanda Siro amshike Uchebe bila ata kujua chanzo ni nini,,pia mwenye makosa ni yupi,!!Hii ni hatari,,je kama Shilole alimtukana Chalii ana kibamia??acheni izo ariff
Ukikutana na Shilole aka Jike Shupa ndio utaelewa ,maana ukimpiga kibao unakula ngumi za uso na ukirudisha ngumi unapostiwa mtandaoniMkuu vibao vya mashavu na mbata za mgongo atapata.. Lakini kumpiga ngumi hapana mkuu naomba Mungu tu anisaidie..
Wewe ulikuwepo shilole kawafanyia sana wanaume zake na hatulii acha akipateUchebe ni muoga sana!
Hana tofauti na Nunu Mziwanda alokuwa akipigwa makofi na Shilole !
Kwanini asingekuwa anampiga akiwa macho mubashara?
Kwanini asubiri Shilole amelala ndiyo amvizie kumpiga?
Inamaana anamuigopa [emoji14][emoji14][emoji14]
Sentensi hii inahitaji ufafanuzi. Mwanamke anapigwa ila siyo kipigo cha kumuumiza na kumtoa ngeu, mwanamke anapigwa kwa lengo la kumuadabisha na kuna sehemu za kumpiga, ila kusema tu hapigwu, hii si sawa.Kumpiga mwanamke ni noma sana.
Huyu kama alimpiga kweli basi alichupa mpaka. NaonaKwanza kabisa, ni kuonesha kukosa control juu ya hisia zako mwanamme.
Naona umeamua kumchukulia mwanamke kama "Robot" na unasahau ya kuwa huyo ni mwanamke na ni binadamu pia, yaani ana akili na ana utashi.Pili, umeshindwa kumdhibiti huyo mwanamke asifanye mambo ya kukukasirisha. Inaonekana mwanamme huna ushawishi ndani ya nyumba. Unatumia nguvu badala ya ushawishi.
Hapa tuko pamoja na sahihi kabisa, na hii inaingia katika nukta ya kwanza uliyi itaja.Tatu, hata ukijisema wewe mwamba barubaru. Mwamba barubaru anatakiwa ajijue yeye kama mwanamme kupigana atafute mwamba barubaru mwenzake mwanamme. Siyo ampige mwanamke. Hata kwenye riadha na michezo mingine wanawake wana ligi zao tofauti na wanaume.
Hii nayo inaingia katika nukta yako ya kwanza kwa maana ni matokeo ya kushindwa kuzuia hasira zako kupiga kwa kuzidi kiwango.Nne, unampiga mwanamke, ukimuharibu sura au mwili halafu mkapatana hasara mmekula wote.
Huu ni uongo wa wazi kabisa, sababu hakuna anae jua kesho na sisi binadamu tunabadilika badilika sana, lei unaweza kulala ukiwa mwema kesho ukaamka ukiwa muovu na unaweza kulaa ukiwa muovu kesho ukaamka ukiwa mwema. Ukweli wa hili hauhitaji tocho au Siraji au Kandiri/kandili kuuona. Sababu kubadilika kwa mwanadamu kuna changiwa na sababu nyingi mno, za nje na sababu za ndani.Tano, kumpiga mwanamke maana yake wewe mwanamme umekosea kuchagua mwanamke wa kukaa naye. Ungechagua vizuri mngekosana ndiyo,lakini si kufikia kumpiga. Hivyo umejionesha hujui kuchagua mwanamke bora wa kuishi naye.
Bottom line ni results. Nimeandika kwa uzoefu.Sijawahi kumpiga mwanamke.Sentensi hii inahitaji ufafanuzi. Mwanamke anapigwa ila siyo kipigo cha kumuumiza na kumtoa ngeu, mwanamke anapigwa kwa lengo la kumuadabisha na kuna sehemu za kumpiga, ila kusema tu hapigwu, hii si sawa.
Huyu kama alimpiga kweli basi alichupa mpaka. Naona
Naona umeamua kumchukulia mwanamke kama "Robot" na unasahau ya kuwa huyo ni mwanamke na ni binadamu pia, yaani ana akili na ana utashi.
Binadamu sote hatujakamilika kuna makosa ya kudhamiria na makosa bahati mbaya na makosa ya bila kujua. Kumzuia mwanamke asikukasirishe hilo halipo na hakuna aliyewahi kuweza kama ilivyo kwetu sisi kujizuia kumkasirisha mwanamke ni ngumu.
Swali litakuwa gumu kwako endapi tukikuuliza unawezaje kumdhibiti mwanamke asifanye mambo ya kukukasirisha ?Hili ni swali gumu kwako, na ukijaribu kujibu linazaa vipengele na mwisho wa siku tunaishia katika nukta ya msingi ya "Kuvumiliana na kuzuia hasira zetu".
Kwa maana nyingine nukta hii imekaa kiandharia sana kinyume na uhalisia.
Hapa tuko pamoja na sahihi kabisa, na hii inaingia katika nukta ya kwanza uliyi itaja.
Hii nayo inaingia katika nukta yako ya kwanza kwa maana ni matokeo ya kushindwa kuzuia hasira zako kupiga kwa kuzidi kiwango.
Huu ni uongo wa wazi kabisa, sababu hakuna anae jua kesho na sisi binadamu tunabadilika badilika sana, lei unaweza kulala ukiwa mwema kesho ukaamka ukiwa muovu na unaweza kulaa ukiwa muovu kesho ukaamka ukiwa mwema. Ukweli wa hili hauhitaji tocho au Siraji au Kandiri/kandili kuuona. Sababu kubadilika kwa mwanadamu kuna changiwa na sababu nyingi mno, za nje na sababu za ndani.
Kitu cha msingi ni tunatakiwa kuishi nao kwa wema viumbe hawa,kuwasimamia,kuwatunza na kuwafanyia uadilifu.
Mwisho namalizia kwa kuandika ya kuwa wanawake wana maudhi sana na sisi huwa tunawaudhi mno.