Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

Kei yake itakuwa na magaga kama sio sugu.
Ana PhD ya kuoa vimarioo au viyahaya
 
Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024

Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar es Salaam.

Iwapo Shilole ataamua kufunga ndoa, hii itakuwa ndoa yake ya tatu, baada ya ndoa zake mbili za awali kuvunjika. Ndoa yake ya pili ilivunjika rasmi Juni 2024, takribani miezi sita iliyopita.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na watu wa karibu, huku Shilole akionekana mwenye furaha tele, ishara kwamba amepata ukurasa mpya wa furaha maishani. Mashabiki wake wanatarajia mengi kutoka kwa msanii huyo, ambaye pia ni mmiliki wa migahawa maarufu ya Shishi Food.
View attachment 3183111

Tanzani hadi mama ntilie ni celebrate 🙌
 
Hawa wasimamia... kucha ni shida....kulelewa tu hapo eti linapiga magoti khaaaaa......
 
Akiona unaweza jitegemea anakuacha
Ishu ni unaweza pata mpunga wa kutosha ukiwa kwake, au isiwe sehem kama hiyo unatembea na nyota ya mtu ......

Ukitoka hapo kwishnei

Ndo maana naogopa sugar Mamie na Hawa mishangazi watu wapo ki benefits zaidi
 
Ishu ni unaweza pata mpunga wa kutosha ukiwa kwake, au isiwe sehem kama hiyo unatembea na nyota ya mtu ......

Ukitoka hapo kwishnei

Ndo maana naogopa sugar Mamie na Hawa mishangazi watu wapo ki benefits zaidi
Unapata mwingi sana
 
Tufanye pia ana ngekewa, sio rahisi anashuka mtu anapanda kama daladala ujue
Pesa huleta marafiki, maadui na wapumbavu.

So,
Anapesa ndio inayo IPA Ile kitu roho Ina penda all in all pesa ndio kila kitu..
 
usihukumu usije hukumiwa du jamaan usinzi huu ? tujitafute knowthyself
 
Back
Top Bottom