Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kei yake itakuwa na magaga kama sio sugu.
Ana PhD ya kuoa vimarioo au viyahaya
Ana PhD ya kuoa vimarioo au viyahaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha acha kaka...... Ila wanawe wakubwa sasa atulie.... Mambo mengine daah 😂Ahahah uyo shangazi wa kulea vijana hasa malast born
Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024
Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar es Salaam.
Iwapo Shilole ataamua kufunga ndoa, hii itakuwa ndoa yake ya tatu, baada ya ndoa zake mbili za awali kuvunjika. Ndoa yake ya pili ilivunjika rasmi Juni 2024, takribani miezi sita iliyopita.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na watu wa karibu, huku Shilole akionekana mwenye furaha tele, ishara kwamba amepata ukurasa mpya wa furaha maishani. Mashabiki wake wanatarajia mengi kutoka kwa msanii huyo, ambaye pia ni mmiliki wa migahawa maarufu ya Shishi Food.
View attachment 3183111
Kuna ile ya kwanza alio olewa na dereva Lori au ilikuwa sio ndoaBado ndoa nyingine mbili...
Tufanye pia ana ngekewa, sio rahisi anashuka mtu anapanda kama daladala ujueInasemwa ni mlevi Sana addicted pia ana tabia ya kuchepuka mbaya zaidi huwa ANAGEUKA KIDUME NDANI YA NYUMBA.
Akiona unaweza jitegemea anakuachaHahaha acha kaka...... Ila wanawe wakubwa sasa atulie.... Mambo mengine daah 😂
Ishu ni unaweza pata mpunga wa kutosha ukiwa kwake, au isiwe sehem kama hiyo unatembea na nyota ya mtu ......Akiona unaweza jitegemea anakuacha
Unapata mwingi sanaIshu ni unaweza pata mpunga wa kutosha ukiwa kwake, au isiwe sehem kama hiyo unatembea na nyota ya mtu ......
Ukitoka hapo kwishnei
Ndo maana naogopa sugar Mamie na Hawa mishangazi watu wapo ki benefits zaidi
Aseeh msingi kiunoUnapata mwingi sana
Pesa huleta marafiki, maadui na wapumbavu.Tufanye pia ana ngekewa, sio rahisi anashuka mtu anapanda kama daladala ujue
Ni mgawanyo wa majukumu tu mkuu, kama vipi tujaribu kuswitch majukumu, halafu tuone nani atakuwa wa kwanza kusalimu amriWe kachoyo kwenye hela zako,wenzio hawapo hvyo
Kabisa kiuno kiwe chepesiAseeh msingi kiuno