Shilole na Nuhu Mziwanda waanikana mtandaoni

Shilole na Nuhu Mziwanda waanikana mtandaoni

"Ganda la ndizi"akimaanisha nini jamani?Hawa naona kama hawajielewi hawawezi kuambiana kashfa wakati walikuwa wakipika na kupakua pamoja
 
Kwakweli sipo interested na hii namna ya kuintroduce nyimbo/movie....technique imekaa kijinga

Yani imekaa Kipwaguzi.
Poor technic, unawatahayarisha watu, unawadanganya fans wako.
Mazuzu wanaanza kuattack na kutukana.Wengine wanasikitika.
Ila habare wameijua kuwa couple yao pengine ndio the most hated hapa tZee.
 
Ganda la ndizi vs Asha ngedere. Unaweza kuta hata hawajagombana. Wanatafuta attention tuuu

Kick at work!

Basi siku hizi kumbe ni mbinu mpya, kabla ya kutoa mziki au move...unatanguliza skendo kwanza

Yani akili zao sawa, wamekutana chupa na mfuniko

Pyeee to Nuhu na Shishi coz hamna kitu mbaya ka kiki ikifail.
Sio kama ya Zari na D, wambeya tulikaa juu juu kusubiria tuone kama kuna ndoa au pete.
Nyoo, ukitaka kiki zilizoenda shule jiweke karibu na king wa kiki tanzania.
 
Tumeshawazoea kuwa wanapenda Kiki ndo maana Hamna mtu anayehangaika nao kihivyo. Afu kama wimbo ni mzuri watu tutautafuta wenyewe bila hata ya kiki
 
Yani imekaa Kipwaguzi.
Poor technic, unawatahayarisha watu, unawadanganya fans wako.
Mazuzu wanaanza kuattack na kutukana.Wengine wanasikitika.
Ila habare wameijua kuwa couple yao pengine ndio the most hated hapa tZee.

Hii kik nnya hata haijabamba
 
Teh sio vizuri bana, kuwa mzalendo kwa ganda la ndizi na asha ngedere, tusupport vya kwetuuuu

ha ha haaaaa mweee...hawa wakifa tunaomba wawekwe museum!!!!!..... there is a tale about them for our offsprings
 
Teh sio vizuri bana, kuwa mzalendo kwa ganda la ndizi na asha ngedere, tusupport vya kwetuuuu
Mimi mwenyewe sito usikiliza labda nije kukutana nao bahati mbaya! Kuna siku watakuja kusema wamekufa kumbe kick...
 
uploadfromtaptalk1437751011316.jpg
 
Back
Top Bottom